Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

Rais anapwaya mno jamani, kiti kimemlemea.
Kweli kabisa mkuu,itapendeza saana ikiwa yule gaidi akiachiwa na kupewa nchi au yule Mrs Robert Amsterdam akitoka huko aliko tujipange tumpe nchi

Naunga hoja!!
 
Mimi swali langu moja kuu ni wale wachina wawili wa darajani (ubungo fly over) aliowaiita waje kupiga naye picha walikuwa mpango wa walinzi au ilikuaje? Maana walitokelezea kama vile kwenye presentation una chomekea point fulani hivi....Yaani kimkakati
 
Pointi yako ina mantiki....Ni hatari mno kutoa ushauri kauzu kwa mambo serious...Kuna kazi nimehusika this time najua kabisa mawaziri makini wanasikiliza na kutoa ushauri muafaka ila kuna wataalamu maslahi usipokuwa makini wanakuingiza chaka...Watanzania wengi wanasiasa kwa wataalamu siyo reliable na wanapenda sana intrigues
 
Angalia vizuri hii picha wala huwezi kusumbuka kujuwa kiburi chake ndio kimempa Corona.

View attachment 2050569
Yaani corona iwe systematic hivyo? Kwani hao ni quadrants? Hujui kuwa kuna random selections kwenye diseases kwakua binadamu hawafanani?

Kama wewe unahusika kuwapa watu facts unapwaya mno ki science...Kwanza ugonjwa wenyewe unaonyesha effect yake ipo random na based on individuals specificity....Hii hoja yako ipeleke kwingine...Haimanishi nina amini wanayosema...Nina reason na ku think critically...
 
Ni hivi ukiwa Mzalendo, kusimamamia haku za maskini, watu wengi kwenye nchi yako, ili kuwainua wengi inabidi upambane sana.

Uwe na mkono wa Chuma,tayari kufa. Mwisho utauliwa,wasaliti ni ndugu zako, wasaidizi wako.
Lakini speculations Mara nyingi zinakuwa hazina ukweli sana, Mwamba alikuwa ana matatizo ya kiafya ambayo yanajulikana ni makubwa, Ugonjwa wa moyo sio wa mchezo, ukichanganya na hii pandemic kwa kweli ilikuwa ni hatari sana kwake na kwa MTU yeyote mwenye maradhi kama hayo,
 
Duh!!
 
Smart words.
 
Kwa sababu alipenda sana kusifiwa. Kukosolewa Kwake lilikuwa jambo baya.
Wananchi wangeambiwa kuhusu ugonjwa wake angekasirika sana.
Hongereni wana wa kusini hakika mlimalizana nae vyema kabisa!
Kusini kuchereeee!!!!
 
facts ndio kitu gani? usiishi kwenye misingi ya kihistoria, dunia imebadirika, yaani unataka kuzima fikra za watu kwenye kichaka cha facts?
 

Mora amagh’ana ghaho kumbe ole umisimbete…
 
Kifo cha Magufuri kilikuwa engineered na wamerakani kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa CCM na serikali na baadhi ya wapinzani..ndo maana wakati amelazwa wapinzani walianza kutoa taarifa
Inasemekana taarifa za kulazwa kwake ziliwafikia wazungu mapema mno ndani ya saa chache tu, huwenda alipigwa aerosol poisoining taratibu ilikuwa inammaliza hadi pale alipo collapse
 
Hili genge ni la hatari sana,sijui kwanini tiss Inajifanya haioni kuwa CCM imetekwa na hao bahima .Mtu kama huyo GENT unamuona kabisa sio CCM wale wenye utii hata kwa mazuzu
 
Pambaf wewe, aidha ulikuwa uko TRA au Task Force ya kupora wananchi pamoja na vile vitengo vya kutaifisha mali za wafanyabiashara.
Mlifaidika sana na uharamia wa Awamu ya 5.
Miradi ya SGR ilikuwa inasuasua hata kabka ya JPM kwenda alikokwenda.
Mishahara na increments zilikuwa shida.
Watu zaidi ya 4000 wamefukuzwa na hela yao kuchukuliwa, ati hawana vyeti.
Angekuwepo leo JPM, nchi ingekuwa imeshapiga magoti.
 
Acha unaa!

Aliyeficha kuugua kwa Magufuli ni Magufuli mwenyewe, na alikimbilia Chato.

Sasa ulitaka nani atangaze kuwa anaugua?

Magufuli alikuwa na faili Milembe, aliwahi kukutangazia?
Wewe ni mwehu, hope unafurahia Hayati kufariki maana unajua fika utalipwa fidia katika kiwanja chako cha bagamoyo kupisha upanuzi wa bandari. Ila ukweli ni kwamba mambo ndio kwanza yameanza..
 
Wewe ni mwehu, hope unafurahia Hayati kufariki maana unajua fika utalipwa fidia katika kiwanja chako cha bagamoyo kupisha upanuzi wa bandari. Ila ukweli ni kwamba mambo ndio kwanza yameanza..
Mliofaidika na uporaji wa Mwendazake mjue kuwa uharamia una mwisho.
Kwani mnafikiri hatufahamu mahekalu mlyojenga kwa kupora Bureu De Change, Akaunti za watu benki, Viwanja na majumba, upendeleo wa miradi, teuzi za ndugu.
Uuaji uliotekelezwa na wasiojulikana.
Utafika muda tutatajana tu kwa majina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…