Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vile hamjui kuwa magaidi huogopa kufanyiwa ugaidiAsilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili?
Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa inafichwa na kutumika kwenye gari ile ile ikisomeka kwa namba za kawaida kama magari mengine T ....AKZ / BPA/ CAG/DAF n.k
Serikali ituambie imebariki mambo hayo ya kihuni kwa faida gani?
Je sheria ya usalama barabarani inatambua matumizi ya namba mbili kwenye gari moja?
Katika mpango wa kupunguza utekaji na matumizi mabaya ya mafuta magari ya serikali; TAMISEMI haioni ni wakati sahihi kuyapaka rangi za taasisi kulingana na nembo zao?
Pokeeni ushauri,acheni kuona ninyi ni vichwa,panapohitaji mabadiriko fanyeni mabadiriko.Si kila cheo kina mamlaka ya kupeperusha bendera ndo maana plate no inatumika kuonyesha ni mtu gani aliyebebwa na ana mamlaka gani.
Refer tukio la Nape.
Alivyoenguliwa akiwa mlimani city gari ileilibidi usiku ule ule irudi wizarani dodoma lakini ikiwa na plate no za kawaida sababu hapakuwa na waziri tena
Unataka kuniambia mwenyekiti wa ccm wa mkoa ana mamlaka kuliko waziri?i kila cheo kina mamlaka ya kupeperusha bendera ndo maana plate no inatumika kuonyesha ni mtu gani aliyebebwa na ana mamlaka gani.
Watakuambia acha unoko. Unafikiri watafanya vipi mambo yao ya chobingo.Asilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili?
Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa inafichwa na kutumika kwenye gari ile ile ikisomeka kwa namba za kawaida kama magari mengine T ....AKZ / BPA/ CAG/DAF n.k
Serikali ituambie imebariki mambo hayo ya kihuni kwa faida gani?
Je sheria ya usalama barabarani inatambua matumizi ya namba mbili kwenye gari moja?
Katika mpango wa kupunguza utekaji na matumizi mabaya ya mafuta magari ya serikali; TAMISEMI haioni ni wakati sahihi kuyapaka rangi za taasisi kulingana na nembo zao?
Sawa ndugu mwananchi, sasa unataka sisi kama CCM tufanye nini?Hii kitu imekuwa very common halafu wanasumbua sana barabarani, muda mwingine unakuta hayo magari yako na vibinti vidogo vya chuo kwenye mahotel na lodgings
Asilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili?
Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa inafichwa na kutumika kwenye gari ile ile ikisomeka kwa namba za kawaida kama magari mengine T ....AKZ / BPA/ CAG/DAF n.k
Serikali ituambie imebariki mambo hayo ya kihuni kwa faida gani?
Je sheria ya usalama barabarani inatambua matumizi ya namba mbili kwenye gari moja?
Katika mpango wa kupunguza utekaji na matumizi mabaya ya mafuta magari ya serikali; TAMISEMI haioni ni wakati sahihi kuyapaka rangi za taasisi kulingana na nembo zao?
Huwezi kupewa namba ile ya mwanzo... coz usajili wake ni wa kiserikali. Lazma tujue kila gari la serikali husajiliwa kwa namba mbili purposely1. Kwahiyo ukibadilisha plate namba unaruhusiwa kubaki na ya zaman ikiwa inasoma usajili?
2. Kwanini magari ya serikali yakipigwa mnada ukilinunua unapewa usajili mpya namba mpya?
Kwanin?Unataka kuniambia mwenyekiti wa ccm wa mkoa ana mamlaka kuliko waziri?
Mbona gari yake ina bendera ya waziri haina?
Kwann namba hizo feki ukiangalia kwrnye usajili zinasoma majina ya watu binafsi ambao ni feki, yaani namba iko kwenye landcruser usajili unasoma toyota CAMI?Huw
Huwezi kupewa namba ile ya mwanzo... coz usajili wake ni wa kiserikali. Lazma tujue kila gari la serikali husajiliwa kwa namba mbili purposely
Kabisa ...Mimi nimetembea Nchi nyingi duniani na nimeona huu uhuni upo hapa Tanzania pekee.
ShangaaKama ni mzoefu barabarani, hebu jiulize ni kwanini hao madereva wa magari ya serikali huwa hawaheshimu sheria. unakuta kuna foleni , taa zimewaka yeye anakuja anakatiza. Cha kushangaza traffic wala hawachukui hatua. Yaani ni kwamba jamaa wana sheria zao tofauti na raia.
Mimi ningekuwa Rais, yaani kuongozi, waziri ambaye gari yake inakiuka sheria za bara barani na yeye yumo ndani, basi hana kazi.
Hii iko mpaka kwa magari ya majaji wetu ambao ndio husimamia sheria, acha wabunge na mawaziri.
Yaani ni nuchafu mtupu.
Akikugonga au kufanya kosa lolote ana badirisha namba hujui ni nani.
aheri hilo halina namba lipo nimeona halina kioo cha mbeleNa nyingine hazina namba kabisa
Kweli. Likitokea tatizo mfano ajali, tutaanzia wapi kureport.
Kuna watu wanajiona miungu watu, bila huruma wala nn wanabandika kwa clippers flani izo number plate.
Kwa sheria ganiUsalama wa viongozi na mali za Serikali unalindwa na watu maalum.
Siyo lazima kujua kiongozi kapanda gari ipi, na siyo kazi ya kila mtu bali watu maalum.
Ndio umejibu nini ? STL na etc maana yake nini kwanzi pale inapoanza kutumaDah .
Ngojeni niwaeleshe, Gari yoyote inayoingia nchini lazima isajiliwe kwa plate number za kawaida.. zile tunazozijua za T454 EGF(mfano).. alafu kisha ndiyo kama za serikali zinapewa Hizo namba zao za STM,. Kwahyo zile za serikali ubandikwa wakati tayari hizi gari zina plate no. Za kawaida za mfumo wa nchi..
Hichi kitu sio sahihi, ni uongo kwa 100%.Elimu elimu elimu
Shida ya wabongo huwa hawana tabia ya kuuliza vitu yeye akishashiba ugali wake,mpe kichwa cha habari tu story nzima ataimaliza yeye.
Gari zote za serikali huja na namba za kiraia kupitia wizara ya ujenzi kisha namba hizo husajiliwa tena kwenye taasisi/wizara husika kwa namba husika.
Swala la kubadili namba limeruhusiwa kisheria endapo mhusika/mwenye cheo mfano mkuu wa mkoa hayumo ndani ya hyo gari hivyo dereva hutakiwa kubadili namba na kuweka namba iliyokuja na gari ama namba inayotambulika na ofisi.
Na pindi mhusika anapopanda plate namba yenye cheo chake huwekwa kwenye gari husika kutambulisha ni gari ambayo imembeba fulani.
Japo mfumo huo ni tofauti kidogo na jeshi au polisi ambako wao huwa hawaweki namba za kiraia bali za jeshi then mhusika anapopanda huwekwa initial kama nyota nk ili kutambulisha kwenye gari kuna fulani
Hoja ni kuwa na vibinti vya chuo au kuwa na namba mbili tofauti.Hii kitu imekuwa very common halafu wanasumbua sana barabarani, muda mwingine unakuta hayo magari yako na vibinti vidogo vya chuo kwenye mahotel na lodgings