Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli..Dah .
Ngojeni niwaeleshe, Gari yoyote inayoingia nchini lazima isajiliwe kwa plate number za kawaida.. zile tunazozijua za T454 EGF(mfano).. alafu kisha ndiyo kama za serikali zinapewa Hizo namba zao za STM,. Kwahyo zile za serikali ubandikwa wakati tayari hizi gari zina plate no. Za kawaida za mfumo wa nchi..
Asante sana kwa maelezo yaliyonyoooka sana!Hichi kitu sio sahihi, ni uongo kwa 100%.
Kila gari (haijarishi ya binafsi, jeshi, serikali) huwa na usajiri wa namba moja tu katika wakati mmoja, gari moja haiwezi na haipaswi kuwa na namba mbili za usajiri kwa wakati mmoja.
Kama gari ilikuwa ya serikali halafu umiliki ukahamia binafsi, ile namba ya awali ya usajiri ya serikali hufa ili kuzaliwa namba mpya ya binafsi, na haitafufuka tena. Vice versa ni sawa.
Kinachoweza kubadilika katika gari za serikali ni vibao vya utambulisho ili kuficha vibao vya namba husika. Kwa mfano gari yoyote ya serikali inaweza kutolewa kibao cha namba ya asili (mfano STH 892) ili kuwekwa kibao chenye utambulisho wa ufupisho kwa viongozi wa juu mfano waziri, naibu waziri, makamu wa rais, waziri mkuu nk. Na wahusika wakiwa hawajabebwa kwenye hayo magari na hayo magari kwenda kutumika kwa shughuli zingine vibao vya utambulisho wa viongozi hung'olewa na namba halisi (asili) za serikali (STK, STJ, STH) kwa gari husika hurejeshwa. Lakini kamwe hauruhusiwi gari ya serikali kuwekwa namba binafsi. Ni uhalifu. Ni mchezo mchafu umeanza kuzoeleka katika jamii yetu. Haipaswi.
Je zote zinatakiwa kutumika, au ikishanunuliwa na Serikali, ile ya usajili wa mwanzo hufa?Dah .
Ngojeni niwaeleshe, Gari yoyote inayoingia nchini lazima isajiliwe kwa plate number za kawaida.. zile tunazozijua za T454 EGF(mfano).. alafu kisha ndiyo kama za serikali zinapewa Hizo namba zao za STM,. Kwahyo zile za serikali ubandikwa wakati tayari hizi gari zina plate no. Za kawaida za mfumo wa nchi..
Wataalam wamesema hakuna usajili wa double registration!Je zote zinatakiwa kutumika, au ikishanunuliwa na Serikali, ile ya usajili wa mwanzo hufa?
Ungekuwa Mshauri wa Masuala ya Usalama kwa Viongozi wa Taifa unadhani hili ni sawa ama si sawa? Kwa upande wa mtazamo fulani unaona ni kitu kibaya lakini kwa upande wa mtazamo wa Nje hii ni SALAMA zaidi. Uwe na uhakika hata hapo kitaani kwako Baadhi ya gari zinazokuwa kwenye msafara wa viongozi wa kitaifa pengine zinapitaga na kupaki sana. Ila tuu huwezi zingatia kwa wakati huo kutokana na kubadilishiwa Number Plate.Asilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili?
Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa inafichwa na kutumika kwenye gari ile ile ikisomeka kwa namba za kawaida kama magari mengine T ....AKZ / BPA/ CAG/DAF n.k
Serikali ituambie imebariki mambo hayo ya kihuni kwa faida gani?
Je sheria ya usalama barabarani inatambua matumizi ya namba mbili kwenye gari moja?
Katika mpango wa kupunguza utekaji na matumizi mabaya ya mafuta magari ya serikali; TAMISEMI haioni ni wakati sahihi kuyapaka rangi za taasisi kulingana na nembo zao?
Aliyekwambia viongozi hawako salama.nani? Ujuaji tuUngekuwa Mshauri wa Masuala ya Usalama kwa Viongozi wa Taifa unadhani hili ni sawa ama si sawa? Kwa upande wa mtazamo fulani unaona ni kitu kibaya lakini kwa upande wa mtazamo wa Nje hii ni SALAMA zaidi. Uwe na uhakika hata hapo kitaani kwako Baadhi ya gari zinazokuwa kwenye msafara wa viongozi wa kitaifa pengine zinapitaga na kupaki sana. Ila tuu huwezi zingatia kwa wakati huo kutokana na kubadilishiwa Number Plate.
Unataka wakitoka kugawana mikopo uwakabe? Utakesha barabarani.Asilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili?
Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa inafichwa na kutumika kwenye gari ile ile ikisomeka kwa namba za kawaida kama magari mengine T ....AKZ / BPA/ CAG/DAF n.k
Serikali ituambie imebariki mambo hayo ya kihuni kwa faida gani?
Je sheria ya usalama barabarani inatambua matumizi ya namba mbili kwenye gari moja?
Katika mpango wa kupunguza utekaji na matumizi mabaya ya mafuta magari ya serikali; TAMISEMI haioni ni wakati sahihi kuyapaka rangi za taasisi kulingana na nembo zao?
NIlishawahi kuona Magari matatu maeneo ya Mbande ambayo yanatumika kwenye msafara wa Rais yakiwa njiani kurejea Dsm. Lakini kwa wakati huo yalikuwa na Number Plates za kiraia na zilikuwa mwendo wa kawaida. Kiasi kwamba si rahisi mtu kuzizingatia na hii husaidia kuepusha njama ovu pindi yakiwa hayajabeba viongozi.Aliyekwambia viongozi hawako salama.nani? Ujuaji tu
Jamaa hajui analolisema.1. Kwahiyo ukibadilisha plate namba unaruhusiwa kubaki na ya zaman ikiwa inasoma usajili?
2. Kwanini magari ya serikali yakipigwa mnada ukilinunua unapewa usajili mpya namba mpya?
Ujuaji mwingi usiokuwa na tijaNIlishawahi kuona Magari matatu maeneo ya Mbande ambayo yanatumika kwenye msafara wa Rais yakiwa njiani kurejea Dsm. Lakini kwa wakati huo yalikuwa na Number Plates za kiraia na zilikuwa mwendo wa kawaida. Kiasi kwamba si rahisi mtu kuzizingatia na hii husaidia kuepusha njama ovu pindi yakiwa hayajabeba viongozi.
Gari za viongozi si rahisi kukosa pesa.NIlishawahi kuona Magari matatu maeneo ya Mbande ambayo yanatumika kwenye msafara wa Rais yakiwa njiani kurejea Dsm. Lakini kwa wakati huo yalikuwa na Number Plates za kiraia na zilikuwa mwendo wa kawaida. Kiasi kwamba si rahisi mtu kuzizingatia na hii husaidia kuepusha njama ovu pindi yakiwa hayajabeba viongozi.
HihihiKimbia wahuni in pole pole voice.
FafanuaGari za viongozi si rahisi kukosa pesa.
Nimeambua kitu hapaHichi kitu sio sahihi, ni uongo kwa 100%.
Kila gari (haijarishi ya binafsi, jeshi, serikali) huwa na usajiri wa namba moja tu katika wakati mmoja, gari moja haiwezi na haipaswi kuwa na namba mbili za usajiri kwa wakati mmoja.
Kama gari ilikuwa ya serikali halafu umiliki ukahamia binafsi, ile namba ya awali ya usajiri ya serikali hufa ili kuzaliwa namba mpya ya binafsi, na haitafufuka tena. Vice versa ni sawa.
Kinachoweza kubadilika katika gari za serikali ni vibao vya utambulisho ili kuficha vibao vya namba husika. Kwa mfano gari yoyote ya serikali inaweza kutolewa kibao cha namba ya asili (mfano STH 892) ili kuwekwa kibao chenye utambulisho wa ufupisho kwa viongozi wa juu mfano waziri, naibu waziri, makamu wa rais, waziri mkuu nk. Na wahusika wakiwa hawajabebwa kwenye hayo magari na hayo magari kwenda kutumika kwa shughuli zingine vibao vya utambulisho wa viongozi hung'olewa na namba halisi (asili) za serikali (STK, STJ, STH) kwa gari husika hurejeshwa. Lakini kamwe hauruhusiwi gari ya serikali kuwekwa namba binafsi. Ni uhalifu. Ni mchezo mchafu umeanza kuzoeleka katika jamii yetu. Haipaswi.
Jamaa kaeleza bayanaNimeambua kitu hapa
Yanatumika pia Kutekea WakosoajiAsilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili?
Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa inafichwa na kutumika kwenye gari ile ile ikisomeka kwa namba za kawaida kama magari mengine T ....AKZ / BPA/ CAG/DAF n.k
Serikali ituambie imebariki mambo hayo ya kihuni kwa faida gani?
Je sheria ya usalama barabarani inatambua matumizi ya namba mbili kwenye gari moja?
Katika mpango wa kupunguza utekaji na matumizi mabaya ya mafuta magari ya serikali; TAMISEMI haioni ni wakati sahihi kuyapaka rangi za taasisi kulingana na nembo zao?
Angalieni hii ng'ombeDah .