Kwanini Serikali inaacha uvumi unaondelea kwenye mitandao uendelee?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !

Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!

mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!

Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.

Najiuliza usahihi wa hizi taarifa mbona Serikali ipo kimya. Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.

Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,

Natumaini Serikali haijalala, ukimya huu unatia mashaka.

Tunahitaji ukweli Sasa!
 
Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !
Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!
mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!
Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.
Najiuliza usahihi wa hizi taarifa...mbona Serikali ipo kimya...Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.
Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,
Natumaini Serikali haijalala ...ukimya huu ....unatia mashaka.
Tunahitaji ukweli Sasa!
Nina wasiwasi hata huu Uzi Kama utaachwa na Mod mkiufuta mtakuwa Ni sehemu ya tatizo...
Kwani ukweli lazima usemwe na ccm tu? Mbona hata wao hawapendi site kuusaka ukweli Bali wanasubiria kupakua kwa wanaokwenda site!
Ukitaka ukweli usiotia shaka, Zama site kauchimbue na kinyume chake kubaliana na walioandika we zako!
Mange unamuonea kwani hajatuma taarifa za vifo na mazishi ya usiku Bali anashauri njia Bora za kupambana na corona zi azoshauriwa na wataalamu wa afya!
Keep social distance na vaa barakoa ujilinde na uwalinde wengine!
 
Sasa ndugu yangu, sisi wanainchi wa hali ya chini tunafikia hatua ya kuwaamini hao watoa taarifa whelther ni za (KWELI/UONGO), kwa sababu viongozi wetu hawatupi updates zozote, update ya mwisho ni alhamisi ya wiki iliyopita baada ya hapo kumekuwa kimya. Na ndiyo maana watu hao tunalazimika kuwaamini tena tunawaamini kwa maana ya kwamba labda viongozi wetu hii hali imesha washinda. Maajabu yake wiki hii tumepoteza viongozi wakubwa wenye dhamana kubwa katika uongozi lakini bado viongozi wetu hatuwaoni eitjer wakitupa mwongozo, wakitufariji ama kutolea matamko ya hayaambo. Ni kweli kwa namna tuyaonavyo kwenye media hasa twitter. Hali inatisha sana sana sana, nawaza tu kwanini tumefika hapa. Je ni kwamba uongozi wote umeshindwa kabisa kabisa kukaa na wanainchi kutufariji ama vipi.....???

Nguvu ya media imepatikana baada ya viongozi wetu kuwa kimya, keep in mind kuwa tutawaamini zaidi wa media kwa sababu hawaji na maneno wanakuja ushahidi wa mambo yalivyo.

MUNGU AENDELEE KUTUSAIDIA KATIKA HILI. INATISHAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ukweli lazima usemwe na ccm tu? Mbona hata wao hawapendi site kuusaka ukweli Bali wanasubiria kupakua kwa wanaokwenda site!
Ukitaka ukweli usiotia shaka, Zama site kauchimbue na kinyume chake kubaliana na walioandika we zako!
Mange unamuonea kwani hajatuma taarifa za vifo na mazishi ya usiku Bali anashauri njia Bora za kupambana na corona zi azoshauriwa na wataalamu wa afya!
Keep social distance na vaa barakoa ujilinde na uwalinde wengine!
Mawazo mazuri lakini hujanielewa!
 
Serikali ina wajibu wa kuutaarifu umma ukubwa wa tatizo hili katika uhalisia wake wote. Ile kukwepa kutoa taarifa mara kwa mara watu wengi wameanza kujisahau na kuishi bila ya kujali tishio la gonjwa lenyewe.

Ukiangalia kwa undani, toka yalipofanyika maombi ya kitaifa kwa siku tatu, na hatimaye kufuata kauli ya kujifukizia. Basi imegeuka kuwa ndiyo tumaini la uhakika na kutegemewa ktk kukabiliana na COVID-19 hapa nchini hasa ktk jiji la DSM.

Watu wengi hutumia barakoa kwa kutimiza wajibu. Wengine huziweka ktk vipaji vya nyuso zao, wengine ktk videvu, achilia mbali wale wenye kuzivaa kwa muda mrefu usiokubalika kiafya na tunashuhudia walio wengi hawaoni hata umuhimu wa kuzivaa.

Hapo achilia mbali zile barakoa zinazovaliwa huku zikiwa chafu kupindukia na hata nyingine zinazovaliwa zikiwa na ubora duni sana kinyume na napendekeza ya wataalamu wa afya, na hata nyingine zikikosewa kuvaliwa. Cha kusikitisha sana hivi sasa hakuna hata hamasa inayofanywa na viongozi wetu wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !
Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!
mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!
Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.
Najiuliza usahihi wa hizi taarifa...mbona Serikali ipo kimya...Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.
Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,
Natumaini Serikali haijalala ...ukimya huu ....unatia mashaka.
Tunahitaji ukweli Sasa!
Nina wasiwasi hata huu Uzi Kama utaachwa na Mod mkiufuta mtakuwa Ni sehemu ya tatizo...

Hakuna uvumi ni ukweli mtupu watu wanakufa na sasa wanakuwa wawazi na ndiyo maana serikali haiwezi kubishana na misiba. Tatizo data za serikali zinachelewa na kama ni mzee hawawi wawazi mfano hii familia ya mzee mwenye benson wa Arusha kafariki leo

*D E A T H A N N O U N C E M E N T*

*Haji Abbas Mohamedhussein*
(Benson )has passed away In Arusha

*Marhum was the Father of Raza and Naushad Grandfather of Nedeem and Safraz

*BURIAL*
DATE: *28/04/2020
DAY: *TUESDAY*
VENUE: Arusha

*COVID-19 RESTRICTIONS APPLY*

*1. Only Close Family Members (Ladies & Gents) to attend (5 - 6 from each side)*

*2. Everyone is requested to maintain the restrictions in place*
 
Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !
Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!
mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!
Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.
Najiuliza usahihi wa hizi taarifa...mbona Serikali ipo kimya...Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.
Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,
Natumaini Serikali haijalala ...ukimya huu ....unatia mashaka.
Tunahitaji ukweli Sasa!
Nina wasiwasi hata huu Uzi Kama utaachwa na Mod mkiufuta mtakuwa Ni sehemu ya tatizo...

Serikari itakosa kazi kuhamia kwenye mtandao kwa watu ambao kila siku wapo kwenye mtandao na uzushi? Hiyo serikari itakuwa ya hovyo sana, kama wanajua wana ushahidi waje wakautoe mahakamani. Utahangaikaje na watu waliojificha?,
 
Back
Top Bottom