Kwa hiyo nchi nzima twende kupanga foleni chamwino...siyo? Jinga kabisa wewe!Hivi kweli kama una akili kichwani unweza ukalazimisha kuelezwa mahali aliko rais,kwani alikwenda kumtafuta pale chamwino akakuta pamefungwa
Wapi nimesema hataki kukosolewaKw hiyo jpm yeye hataki kukosolew kabisa. Aise tuna wakati mgumu Sana jamani
ndio maana tunataka dada yenu akamatwe aeleze vizuri nia yenu ovu kwa hii nchi.Hata sisi tumekosa fulsa tu kwa Hali ilivyo kwa sasa hata alshaabab wangekuja tz ningejiunga kwa ajiri kumlipua rais. Nchi imekuwa Kama geto Mali binafsi yake
Vidubwana vya Sinza vingi vinapekekewa moto. Kwahiyo hakuna namna vitakuwa na akili timamu kabisa.Kuanza kuhangaika na mwanamke kisa tu kauliza Rais yuko wapi naona kama serikali itakuwa inajidhalilisha.
unaijua scandal ya meremeta? umeshawai ona anaipazia sauti? yeye si hapendi uovuWatu wanasoma kwa kodi za wakulima wa Tanzania na sio hela za CCM
Machafuko ya nn Sasa? Umetoka Chato leo ama? Mbona bado una harufu ya ng'ombe?waziri mkuu ameshajibu...anachotaka ni nini? anataka tuingie kwenye machafuko?
Hana Nia ovo Bali anataka kutukomboa sisi tunataka kusema Kama yeye lakini tukanfamizwa na kupotezwa na wasiojulikana. Hata sisi tuko Kama yeye tunataka kusema lakini furasa haipo. Jpm kwake kuua ni kitu Cha kawaidandio maana tunataka dada yenu akamatwe aeleze vizuri nia yenu ovu kwa hii nchi.
unaijua scandal ya meremeta? umeshawai ona anaipazia sauti? yeye si hapendi uovu
uwa anapiga kelele eti kwa nini watu wanaacha profession zao wanaingia kwenye siasa ukiuliza babako kabla ya kuingia kwenye siasa hakuwa daktari mbona sasa aliacha? unakula block 😂😂😂Hakuna pesa ya CCM
Acha wivu! Kafanye na wewe anayofanya Maria ili kuuwinda huo ulaji! Hivi ulisoma ili iweje zaidi ya kujikomboa kifikra na kiuchumi? Utakufa maskini ndugu!wewe huyo maria angepewa nafasi serikalini unadhani angekuwa anakesha Twitter kuchafua nchi? amekosa ulaji angepewa akatae tungejadiliana hahahahaha
Machafuko gani?waziri mkuu ameshajibu...anachotaka ni nini? anataka tuingie kwenye machafuko?
Unauwakika gani Kama analipwa, leta statement za malipoWote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.
Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.
Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
tafuta hela ndio zitakukomboa inaonekana una frustration za maisha magumu. mmewekwa kwenye illusion kwamba kuna mtu atakuja kuwapa maisha mazuri jinga wahedHana Nia ovo Bali anataka kutukomboa sisi tunataka kusema Kama yeye lakini tukanfamizwa na kupotezwa na wasiojulikana. Hata sisi tuko Kama yeye tunataka kusema lakini furasa haipo. Jpm kwake kuua ni kitu Cha kawaida
PointMaria hoja yake kuu ni wapi alipo Mh Rais. Na katiba inaruhusu wananchi kuuliza alipo Rais wao. Sasa wewe umekuja na eti anamzushia hebu leta hata twiti moja kuonyesha aliposhiriki kumzushia Rais.
mimi nna dili zangu zimenipa maisha niliyokuwa nayaota tangu mdogo. siwezi uza nchi kama maria sarungi na vijakazi wakeAcha wivu! Kafanye na wewe anayofanya Maria ili kuuwinda huo ulaji! Hivi ulisoma ili iweje zaidi ya kujikomboa kifikra na kiuchumi? Utakufa maskini ndugu!
Hawa wapuuzi mkuu, mbona wanakuwa wakali wakiulizwa badala ya kutoa jibu alipo basi!Maria hoja yake kuu ni wapi alipo Mh Rais. Na katiba inaruhusu wananchi kuuliza alipo Rais wao. Sasa wewe umekuja na eti anamzushia hebu leta hata twiti moja kuonyesha aliposhiriki kumzushia Rais.
wewe bado upo gizani, pitia report ya Ford foundation ya kila mwaka
[emoji44][emoji44][emoji44]Maria Sarungi ni victim Kampeni za Mwaka 2015 walikua katika kambi ya Magufuli walikua Maria Sarungi, Evarest Chahali, Semkae hawa baada ya JPM kushinda walitegemea kupata vitengo kwenye serikali lakini mda ulizidi kwenda bila kupata favor yeyote ndo wakaegeuka kuwa wakosoaji wa serikali ya Rais Magufuli ni Wachumia tumbo tuuu. Sema Maria Sarungi ni Muoga bado hajaingia kwenye target ya kuweza kukamatwa she is very cautious! .