Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu muhimbil /mloganzila , au wameach ckuhz?Wapi wanatibu kichaa bure? Kusingekuwa na machizi kuzagaa mtaani kiasi hiki matibabu yao ni gharama sana hasa kwa hospital za uhakika
Nafikiri serikali inawahudumiaJe wanahudumiwa na serikali? Au ni wale waliopelekwa na ndugu zao
Bongo nuksi sanaUsingewaona wakizagaa mtaani bila msaada wowote hadi wanajifia
ok,ok,okayHujanielewa mkuu sijasema kuwafungia nimesema wawakudumie kimakazi na maradhi
Kuna mabweni ya wahisani kule lutindi wilayani lushoto mbona machizi wanaishi fresh kabisa na wanatibiwa wanapona ni vile ni gharama kwa wiki sijui elfu 60
Serikali inashindwa nini kuweka mabweni kama yale na wauguzi kwa ajili ya hili kundi dogo tu kati ya watu milion 60 sijui kama wanafika hata robo
Kama jamii tuwasaidie,kama hapo ungeanza wewe na mwingine akipokea na mwingine...hao wa Serikali wangefanya kama wewe tu kusikitika na kusepa.kIukwel serikal ingefanya kitu,kuna mmoja huwa namuona mtaan kila mara siku moja nikamuona kwenye mtaro usiku kalala nilisikitika sana
Serikali ina wajibu wa kuwasaidia hao watu kwani wanakusanya mapato kutoka kwao na si kwa huruma kam unavyosemaKama jamii tuwasaidie,kama hapo ungeanza wewe na mwingine akipokea na mwingine...hao wa Serikali wangefanya kama wewe tu kusikitika na kusepa.
Nikamtunze nyumban kwangu!,Kama jamii tuwasaidie,kama hapo ungeanza wewe na mwingine akipokea na mwingine...hao wa Serikali wangefanya kama wewe tu kusikitika na kusepa.
Hujambo? Heri ya Mwaka mpya.Dkt. Gwajima D anaweza kutupa jibu ya hili swali.
Hujambo? Heri ya Mwaka mpya.Na mimi nalisubiria kwa hamu!
Hujambo? Heri ya Mwaka mpya.Ni kweli mama etu aje atupe matumaini kwa hawa watu hakika wanateseka wengi wao wametelekezwa na ndugu zao wanaishi kama wafu angali wako hai
Asante kwa ufafanuzi mheshimiwa. Tatizo hao wengine ni vigumu kuwapata sio kama wewe.Hujambo? Heri ya Mwaka mpya.
Watu wengi bado wanazichanganya Wizara mbalimbali na Makundi yake maalumu. Haya maoni mazuri humu mngewasilisha moja kwa moja kwenye Wizara mahsusi ya kundi la watu wenye ulemavu ambayo inaitwa, Wizara ya Kazi Ajira Vijana na watu wenye Ulemavu, Iko ofisi ya Waziri Mkuu. Hivyo, maoni haya mazuri yangejumuishwa kwenye mikakati rasmi ya masuala ya wenye ulemavu kwenye Wizara hii mahsusi tafadhali.
Ahsante Sana
Sijui Wizara ya Jinsia na Mandeleo ya Jamii inafanyaga kazi gani?Ndugu wa hao vichaa ni walipa kodi na wao pia kabla ya kuwa vichaa walikuwa walipa kodi hivyo serikali inapaswa kuchukua jukumu hili la kuwahudumia katika mazingira wezeshi
Baadhi ya ndugu wanahangaika na kuwapeleka walemavu wao hospital lakini wengine wanashindwa kulingana na ugumu wa maisha ni vyema serikali ikaliona hili hawa pia ni watanzania.
Nawasilisha.
Wanazo akaunti online wanapatikana,Asante kwa ufafanuzi mheshimiwa. Tatizo hao wengine ni vigumu kuwapata sio kama wewe.
Tunapendekeza uwe waziri mkuu maana umekuwa mwepesi kurespond maoni ya wananchi kwa haraka. Mungu akulinde dada yangu.
Inafanya kazi nyingine nyingi tu ambazo hazifanywi na wizara zingine kwa mujibu wa instrument ya kuundwa kwake. Kwa uelewa zaidi, download hotuba yake ya bajeti bungeni Iko online. Kama una maoni, unawasilisha tu serikalini kwa kadri ya utakavyoona inafaa tafadhali.Sijui Wizara ya Jinsia na Mandeleo ya Jamii inafanyaga kazi gani?
Maana hili lilipaswa kuwa moja ya majukumu yake. Hakukupaswa kuwa na wagonjwa wa akili mtaani, wala wazee, wala ombaomba wala watoto wa mtaani.
Wote wanapaswa kukusanywa na kuwekwa mahali pa kuishi.
Wale ambao wanaweza kufanya kazi, wafanye huku wakiwa hapo hapo kambini kama wakiamua kuwaweka kambini
Ahsante Mh. Kwa majibu haya mazuri natumaini Dr. Ndarichako waziri mwenye dhamana atalisikia hiliHujambo? Heri ya Mwaka mpya.
Watu wengi bado wanazichanganya Wizara mbalimbali na Makundi yake maalumu. Haya maoni mazuri humu mngewasilisha moja kwa moja kwenye Wizara mahsusi ya kundi la watu wenye ulemavu ambayo inaitwa, Wizara ya Kazi Ajira Vijana na watu wenye Ulemavu, Iko ofisi ya Waziri Mkuu. Hivyo, maoni haya mazuri yangejumuishwa kwenye mikakati rasmi ya masuala ya wenye ulemavu kwenye Wizara hii mahsusi tafadhali.
Ahsante Sana