Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
wanakujaInaelezwa kuwa shariti mojawapo la mtu kuruhusiwa kujiunga na Jeshi la Wananchi ni kutokuwa na kovu mwilini na nasikia watu hulazimika kukaguliwa mwili mzima kuthibitisha kuwa hawana kovu/makovu katika mbili yao..
Kwa ulivyowndika kuna watu wataamini.Kwa ajili ya usalama wako hasa kutokana na mzoezi yao
Hii haingii akilini hata kidogo!Wanahofia isije ukawa umepachikwa GPS kwenye Hilo kovu na maadui, hivyo ukaingia jeshi ukiwa mpelelezi na kutoa ramani.
Hivi ukitahiriwa si unabaki na kovu? Ok najaribu kuwaza kwa sautiInaelezwa kuwa shariti mojawapo la mtu kuruhusiwa kujiunga na Jeshi la Wananchi ni kutokuwa na kovu mwilini na nasikia watu hulazimika kukaguliwa mwili mzima kuthibitisha kuwa hawana kovu/makovu katika mbili yao...
Angalau unatupa mwanga.Nakushukuru.Kwa uelewa wangu, si kila kovu bali ni baadhi ya makovu ambayo katika utabibu ni vigumu mtu huyo au sehemu hiyo kushoneka.
Makovu yatokanayo na kuungua kwa ngozi( inaweza kua moto au tindikali) ni vigumu mtu mwenye makovu aina hii kuhudumiwa pindi apatapo majeraha ukiringanisha na mtu asiye na makovu au kovu.
Si kovu tu wanaangalia ukubwa wa kovu. Kuna askari na wanajeshi wengi tu wenye makovu.
Hayupo Mbali na ukweli mkuu, wakati tupo mujibu wa sheria tuliuliza hilo jambo. Majibu ni kwamba kovu haliponi so kwenye mambo mengi na mazoezi ya kijeshi kidonda kinaweza kurudia upya ukawa unfit kwa ajili ya jeshiKwa ulivyowndika kuna watu wataamini.
Tupo pamoja mkuu.Angalau unatupa mwanga.Nakushukuru.
ππππ Naweza kuua mtu...... Nikatoka kambini kama Rambo! One man army no support!piA unapitishwA penseli ukiwa umeinama
Wafuasi wa Chadema ndio wenye makovu so lazima wadhibitiwe
Hii haingii akilini hata kidogo!