Mikolo Mileki Mingi
Member
- Jul 18, 2019
- 84
- 47
Inaelezwa kuwa shariti mojawapo la mtu kuruhusiwa kujiunga na Jeshi la Wananchi ni kutokuwa na kovu mwilini na nasikia watu hulazimika kukaguliwa mwili mzima kuthibitisha kuwa hawana kovu/makovu katika mbili yao...
Chadema hovyo
Hawataki mwenye makovu makubwa hasa sehemu za miguuni, na makovu makubwa mengine, pia jua jeshi haliajiri mlemavu.
Hivyo ukiwa na kovu, linalokupelekea kuonekana mlemavu, kama walivyokua wameunguzwa wale wa ajari ya moto moro, huajiriwi.
Inategemea na mafunzo ya aina gani...ukishapata nafasi ya kufanya mafunzo ya awali ya Jwtz achana na yale ya jkt...haya ya jwtz ikitokea umeumia mafunzoni wanakuajiri hivo hivo..Wengi mnachangia kwa kukisia tu, hizo hisia tayari tushazisikia mtaani... hoja ijibiwe kijeshi.
Je, ukipata kovu ukiwa kazini utaachishwa?
Kovu ni ulemavuInaelezwa kuwa shariti mojawapo la mtu kuruhusiwa kujiunga na Jeshi la Wananchi ni kutokuwa na kovu mwilini na nasikia watu hulazimika kukaguliwa mwili mzima kuthibitisha kuwa hawana kovu/makovu katika mbili yao....
Tunazidi kuyajua mengi.Inategemea na aina ya makovu mkuu..wanahofia katika mazoezi yao kovu linaweza likasababisha kidonda tena...
Sasa wewe unashangaa kovu...hata ukiwa unanyanyua vyuma (kupiga nondo) jeshini hauajiriwi..
Inategemea na aina ya makovu mkuu..wanahofia katika mazoezi yao kovu linaweza likasababisha kidonda tena...
Sasa wewe unashangaa kovu...hata ukiwa unanyanyua vyuma (kupiga nondo) jeshini hauajiriwi..
Miili mikubwa tu kutoka na mazoezi ya ka viungo pamoja na afya njema yaani kama unene flani hivi..lakini sio uwe na mwili wa kupiga nondo..yaani juu umejazia chini upo upo kama ufunguo... Hapo huajiriwi..kwasababu miguu yako inakuwa haina nguvuu huwezi kusimama muda mrefu.Duuu mbona naonaga wamekata ina maana hawapigi nondo
Mordern slave idiot kabisaWafuasi wa Chadema ndio wenye makovu so lazima wadhibitiwe
kitengo Cha huduma kwa watejaInatokana na sababu ambazo hatuwezi kuziweka wazi hapa. Lakini kama unataka maelezo zaidi, unaweza kututembelea pale Lugalo.