T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Sorry mkuu nilitaka ku-quote comment ya juu yake liyesema kuhusu GPS ambayo si kweliHayupo Mbali na ukweli mkuu, wakati tupo mujibu wa sheria tuliuliza hilo jambo. Majibu ni kwamba kovu haliponi so kwenye mambo mengi na mazoezi ya kijeshi kidonda kinaweza kurudia upya ukawa unfit kwa ajili ya jeshi
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mazoezi na kovu wapi na wapi ndugu?Kwa ajili ya usalama wako hasa kutokana na mzoezi yao
Umelogwa itikadi mpaka huwazi jingine zaidi ya Chadema. Mnh....pole ww!!!!Wafuasi wa Chadema ndio wenye makovu so lazima wadhibitiwe
We unadhani kwanini hawa chukuliwi wenye makovu?Mazoezi na kovu wapi na wapi ndugu?
Kwa ulivyowndika kuna watu wataamini.
Hivi nikweli mtu ukiwa mnyanyua vyuma mikono inakua haiwezi kunyooka sawa sawa yn ktk mstari mnyoofu (inakua imetengeneza kama matege flan ivi)kwaiyo ukiambiwa mguu sawa unajikuta unajitahidi kubana miguu namikono lkn bado mikono inaacha madirisha.Inategemea na aina ya makovu mkuu..wanahofia katika mazoezi yao kovu linaweza likasababisha kidonda tena...
Sasa wewe unashangaa kovu...hata ukiwa unanyanyua vyuma (kupiga nondo) jeshini hauajiriwi..
Hujafa hujaumbika mkuu,acha kufuruWafuasi wa Chadema ndio wenye makovu so lazima wadhibitiwe
Au wale waliokeketwa pia nadhani wanayo makovu ya kudumu sasa nao wanaruhusiwa au wanapewa upendeleoHivi ukitahiriwa si unabaki na kovu? Ok najaribu kuwaza kwa sauti
Smart bandits nadhani hawana[emoji28]Nadhani iliwekwa kuzuia majambazi kuwa polisi. Hakuna jambazi asiye na kovu mwilini
Wacha kuhadaa watu kwa uongo wewe, hii order unayoiongelea hapa sio ya dunia nzima. Labda huku Afrika, nchi zetu ndio bado tunatumia hiyo issue kupunguza raia wanaokuja recruitment. Bajeti ya nchi haiwezi kuandika vijana nyie wote jeshini, nani atawalipa mishahara wakati bado nchi zenyewe ni developing countries. Ndio kukawekwa hivyo vikwazo, watu wapunguzwe hadi mwisho wa siku unaweza pata watu wawili au watano mkoa mmoja ndio wamechaguliwa na mlioenda kiwanjani ni mamia. Serikali ina ujanjaKanuni kubwa jeshini ni Order kwa hiyo Disorder yeyote .Haikubaliki mwilini .Mfano.makonde na zile chale zake hawezi ajiriwa jeshini pia ukiwa na tatoo.huajiriwi.Wanataka mwili usiwe na disorder yeyote popote
Hiyo iko.majeshi yote.Mwili.unatakiwa uwe in order wote hakuna sijui kinundu au kitovu kikubwa no
Kujiunga na Jeshi la marekani na Israel lazima mwili wote usiwe na mkwaruzo popote no disorder yeyote mwilini.Wanataka uingie ukiwa na mwili perfect asilimia mia mojaWacha kuhadaa watu kwa uongo wewe, hii order unayoiongelea hapa sio ya dunia nzima. Labda huku Afrika, nchi zetu ndio bado tunatumia hiyo issue kupunguza raia wanaokuja recruitment. Bajeti ya nchi haiwezi kuandika vijana nyie wote jeshini, nani atawalipa mishahara wakati bado nchi zenyewe ni developing countries. Ndio kukawekwa hivyo vikwazo, watu wapunguzwe hadi mwisho wa siku unaweza pata watu wawili au watano mkoa mmoja ndio wamechaguliwa na mlioenda kiwanjani ni mamia. Serikali ina ujanja
Nenda nchi za nje, sanasana bara uropa, Ulaya huko ujione wanajeshi
Fafanua hizo disorder!Kujiunga na Jeshi la marekani na Israel lazima mwili wote usiwe na mkwaruzo popote no disorder yeyote mwilini.Wanataka uingie ukiwa na mwili perfect asilimia mia moja
Sisi tume copy tu .
Dis order yeyote haikubaliki
Any .Mwili pefect si unaujua .Ngozi yote iwe vizuri kusiwe na chochote .Vidole vypte viwe sawa nkFafanua hizo disorder!
hawatafuti disorder wanafuta mtu ambaye yuko order .Ni sawa ns ukiniuliza noti feki ikoje nikuambie Nitakuambia ni yeyote isiyolingana na noti halali.Chochote kisicholingana mwili ulio mzuri.kwenye order kwenye sehemu yeyote hiyo inaitwa disorder liwe kovu etcFafanua hizo disorder!
ππ€£π Hata mimi sikubali kama ndo ajira bora ni koseππππ Naweza kuua mtu...... Nikatoka kambini kama Rambo! One man army no support!
Upande wa makovu hapo sawa, lazma uwe fit mkuu haipingiki hio. Lakini kuhusu tatoo nchi za nje nyingi hawatilii maanani ka sisi huku.hawatafuti disorder wanafuta mtu ambaye yuko order .Ni sawa ns ukiniuliza noti feki ikoje nikuambie Nitakuambia ni yeyote isiyolingana na noti halali.Chochote kisicholingana mwili ulio mzuri.kwenye order kwenye sehemu yeyote hiyo inaitwa disorder liwe kovu etc