Kwanini sharti mojawapo la kujiunga na Jeshi ni pamoja na kutokuwa na kovu mwilini?

Upande wa makovu hapo sawa, lazma uwe fit mkuu haipingiki hio. Lakini kuhusu tatoo nchi za nje nyingi hawatilii maanani ka sisi huku.
Majeshi mengi hawaajiri mwenye tatoo hata mwanamke akijichora na hina hawamwajiri akitaka ajira anafuta zote.Dissorder mwilini hawataki
 
Halafu kuna hii issue ya urefu, huo nao ni uhuni. Vijana waruhusiwe kuingia bora umefikisha 5 feet, mbona shwari. Kuna wengine, duh una 5 ft lakini bado waambiwa mfupi, sasa si maumbile hayo.
Tuige mifano ya wa Nepali, wale jamaa wanaaminika mpaka kuchukuliwa jeshini UK licha ya wao kuwa wafupi wafupi kama wachina, lakini ni hatarii kuruka akipata mafunzo.kuna kisa Commando mmoja wa kinepali alisababisha akiwa peke yake vitani hadi anakumbukwa hadi waleo, hawapishi wale dogo short chase. Afrika tunaiga sana, tufanye yetu.
 
Acha uongo.
Tattoo sawa zinaruhusiwa ila inategemea zipo sehemu gani,na Zina maana gani.
Nenda kasome 2021 Tattoo policy ya majeshi ya marekani Kisha uje hapa.
 
kimwizzy
No, the Army does not allow tattoos on the face, neck, or hands. The only exception is a small ring tattoo that can exist on each hand (limit one per hand). Face and neck tattoos are highly discouraged in the U.S. Army.27 Feb 2021
 
kimwizzy
No, the Army does not allow tattoos on the face, neck, or hands. The only exception is a small ring tattoo that can exist on each hand (limit one per hand). Face and neck tattoos are highly discouraged in the U.S. Army.27 Feb 2021
Na nimeeleza kila kitu hapo, ni specific area unakubaliwa uwe nayo sio pahali wazi wazi tu, kwanza hizo za shingoni na usoni hazikubaliwi coz ni gang related nyingi kule US. Lakini ukiwa nayo kwenye kifua, mbavu, mgongo,kuna department za kijeshi wanakukubali haswa Army.
 
Wanaogopa mazoezi yanaweza sababisha pale kwenye kovu pakachanika tena.
 
sio kovu tu linalokaguliwa. hadi marinda yanaangaliwa kama yapo au hayapo. kwa hiyo vijana muwe makini sana hasa kuzuia kuchora tatoo
 
Kutokana na purukushani za mafunzo kuna uwezekano mkubwa makovu kuachia, yaan kidonda kuanza upya.
Chukulia ulifanyiwa upasuaji alaf mazoezi makali ya kule hufanya mwili kuvurugwa sasa huo mshono siunaachia kirahisi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…