Kovu inaweza kumaanisha una jeraha ambalo linahistoria ya wewe kuumia vibaya na hivyo ni hatari kuwa na askari ambaye huenda ana matatizo makubwa ila ameficha.
Pili kuna alama za kujichora yaani tattoo. Hii inaweza kukunyima nafasi ya kujiunga kwasababu inawezekana kuwa wewe una uhusiano na makundi ya kihalifu au kijasusi au makundi yoyote ambayo una kiapo nayo. Jeshi linataka askari watiifu ambao wanatii amri. Wewe kuwa na tattoo yenye affiliation na makundi fulani ni ishara kuwa hautakuwa mtii kwa jeshi.
Hivyo hizi ni baadhi ya sababu unaweza kukosa nafasi ya kujiunga na jeshi.