Kwanini sijaonekana kwenye picha za Iftar ya Ikulu siku ya Jana. Nimechukia sana

Nyie ndo mlienda kumaliza food tu ikulu😄😄😄
Kwani hujui hadi picha inataka connection
 
Ulikaa karibu na njia ya kuelekea maliwato, nani angekuona?
 
Wenzio wanamuona camera man mapema, we unajua kuwa unapenda sifa na unataka uonekane alafu ukaenda kujikalia tu bila kumpa taarifa kaka mpiga picha ulitegemea Nini?

Au itakuwa wewe ndo muuza madafu,
 
Kuna hafla nyingine itafanyika Dodoma kabla ya mwezi kukamilika. Usijali. Wakati huo utapata picha nyingi
 
Wenzio wanamuona camera man mapema, we unajua kuwa unapenda sifa na unataka uonekane alafu ukaenda kujikalia tu bila kumpa taarifa kaka mpiga picha ulitegemea Nini?

Au itakuwa wewe ndo muuza madafu,
Au wengine tukienda kwenye sherehe huwa tunawatumia wale wanaopiga picha Kwa kulipia elfu 2 au 5 Kwa Ile kubwa ilowekwa kwenye frame.
 
Wenzio wanamuona camera man mapema, we unajua kuwa unapenda sifa na unataka uonekane alafu ukaenda kujikalia tu bila kumpa taarifa kaka mpiga picha ulitegemea Nini?

Au itakuwa wewe ndo muuza madafu,

Aiseeh! Umenipa somo kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…