Kwanini sijapoteza muda wangu kuiangalia Fainali ya ASFC ya Azam FC na Yanga SC?

Kwa mbali nlikua najua huna akili ila nimekuona karibu ndio nimefahamu huna akili kabisa yani hata akili zero huna.
Lile shuti la Sopu lililogonga mwamba aliambiwa na Kally Sio agongeshe mwamba huna ulijualo kubwa jinga kabisa wewe
 
Sasa mbona timu yako iliruhusu kufungwa na Azam hiyo hiyo kwenye nusu fainali! Si ingekomaa, na hivyo kupata nafasi ya kucheza kwenye fainali ya leo!
 
Najaribu kulinganisha uzi na namna Azam walivyotukosakosa....haileti maana kabisa
 
Yanga iko bora saba msimu huu .....hata iweje . ..Yanga bora kabisa ....msimu huu hakuna doubt kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…