matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
zamani tulisikia mtu kajilipua kwenye daladala huko Tel aviv, mtu kajivika mabomu na kujilipua mtaani.
Lakini hadi sasa ni karibu miaka 10+ sijawahi kusikia kuna mtu kajilipua huko middle east kuwaua waisrael au watu flani asiowapenda
Je, Teknolojia ya kuwagundua imekua?
Je wamegundua ni kupoteza muda maana vitu wanavyoahidiwa havipo?
Je wamebuni njia mpya?
Je wanawahiwa hukohuko kabla hawajajipanga?
Zamani Israel akiua tu hata mtoto wa Palestina, haipiti wiki utasikia mtu kajilipua huko Jerusalem na kuua kama revenge.
Nini kimetokea wajuvi wa mambo?