Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
sasa
hio 2007 je leo ?Kuna kimoja miaka ya 2007 nilishuhudia ugomvi mitaa ya sinza baba mtu na mtoto mtu mtoto mtu( binti) ana mtuhumu baba yake kwamba baada ya binti kujifungua baba kahamisha mapenzi kwa machangudoa