Kwanini siku hizi vyuoni wanawake mnatega mimba?


Wewe sio mwana kondoo bali ni mwana shetani... hamna zambi kubwa kama kumshauri mwanamke kutoa mimba.[emoji30][emoji30][emoji30]
 
mkuu sijajipanga bado sijui nikimaliza chuo hapa itakuaje maana natoka familia duni kabisa, chuo nimesoma kwa mkopo, ajira sijui kama nitapata au la!
Wakati unamgegeda ulikua ukumbuki yote hayo.. Ukawa unazid kupump tena unaongeza na speed mpka ukamwagia papuchini

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
"yani nina hasira nae natamani hata nimzabe makofi afu hata hataki kutoa mimba yani mh!

Mungu anawaona nyie mabinti mnaotegesha mimba makusudi.:"

Yaani hata sielewi kama umeweza kufikiri ulichokiandika. kweli dhambi huwa inawasumbua watu, yaani umefanya uasherati halafu bado unataka kuua? aisee kweli linadhihirika wazi sasa kazi ya shetani ni kuvunja kuiba na kuua, umevunja umeiba sasa imebaki kuua. Kijana acha uzinzi kumbuka mshahara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima na amani. Acha dhambi mrudie muumba mlee huyo mtoto umejitakia mwenyewe sio lazima muoane maana kupata mtoto nae sio tiketi ya ndoa mtasumbuana kama hukumpenda, mchukue mtoto mlee ila kama unaona ni vema sana mwoe japo sio lazima. Kumbuka Acha uasherati.
 
Acheni ngono zembe, tumia kondom

Sent from my HUAWEI P8max using JamiiForums mobile app
 
Umenivunja mbavu mkuu.

Ila umenisikitisha sana hiyo sentence yako kuwa unamng'ang'aniza atoe.weee.haiwezekani upande mchicha uvune bangi.kunali matokeo hakuna namna
 
Hayo ni matokeo ya ule utamu uliokua unaupata wakati unasimamia kucha.
[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji85] Rubii ume tisha lol ngoja nicheke kwa raha mie yaani kiuno amkatie na utamu apate matokeo ayakatae hovyo kabisa huyu kijana

Sent from my HTC Desire X using JamiiForums mobile app
 
Hapo Mwenyezi Mungu usimtaje!

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Wakati unambato husemi amekutegea maku ila mimba amekuteshea. Shamba unapolima lazima mazao yaote na ni lazima yavunwe. Wanaume huwa hatulii juu ya mimba. Mtoto wa watu alikuwa katulia kiherehere chako na nyege zako zikakupeleka kwake. Lea mimba tunza mtoto na mama yake muoe konyooo kabisa wewe dadeki. Mabinti ongezeni kazi kama wahudumu pale bar alaaaah
 
basi ungekua unammwagia usoni sio papuchini
Hili lijamaaa sidhani Hata kama kweli lilikuwa linakumbuka ndomu hapa litakuwa linajitetea. Kwani zimwagwe usoni na wakati ndani ya papuchi ndio sehemu yake? Jamaa akomae
 
Mkuu hapo hakuna shida wew waache watege si watakuwa Singln mothers
 
Acha uoga bablai. Mwanaume kama hujapitia stress za kulea ujauzito hasa wa mwanamke msumbufu, utakuwa bado hujakua.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…