Kwanini siku hizi watu wanakufa mapema kuzidi miaka ya zamani

Hebu tutajie ni mwaka gani nyuma ya miaka hii ya 2020s Tanzania ilikuwa na life expectancy kubwa zaidi?


Nadhani alichoandika kipo kweli.

Zamani wazee wa 80+ ulikuwa ukienda kijijini unawakuta wengi Sana Ila sasa hivi wanahesabika
 
Nadhani alichoandika kipo kweli.

Zamani wazee wa 80+ ulikuwa ukienda kijijini unawakuta wengi Sana Ila sasa hivi wanahesabika
Mkuu, kama watu wanakufa mapema kuliko zamani kama tunavyoamini life expectancy ingeshuka lakini so far imeongezeka. Labda kuna kitu sielewi kwenye life expectancy.
 
Rejea Ayubu 14:1-4 katika biblia takatifu!.

β€œMwanadamu aliyezaliwa na mwanamke
Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
Yeye huchanua kama ua na kunyauka;
Yeye hukimbia kama kivuli wala hakai kamwe.”

Anaendelea kututafakarisha juu ya maisha na udhaifu wa binadamu na mwenye kuhitaji rehema toka kwa Mungu!.
β€œJe, unamfumbua macho mtu kama huyo,
Na kunileta hukumuni kwako Mwenyewe?
Ni nani awezaye kutoa kitu kilicho safi katika kitu kisicho safi? Hakuna mtu!
Kwa kuwa siku zake zimeamriwa ,
Hesabu ya miezi yake unayo wewe;
Umemwekea mipaka yake, ili asiweze kupita.
usimwache apate kupumzika,
Hata atakapomaliza siku yake kama mtu aliyeajiriwa.

Ayubu anajaribu kutuonesha maisha yetu ya duniani ni mafupi ,na kaburini tunaishi muda mrefu zaidi.!,hivyo tujiandae vyema na maisha yajayo kuliko sasa !!!
β€œKwa maana yako matumaini ya mti,
ukikatwa, ya kwamba utachipuka tena,
Wala machipukizi yake hayatakoma.
Ingawa mizizi yake itachakaa ardhini,
Na shina lake kufa ardhini,
Lakini kwa harufu ya maji utachipuka
na kutoa matawi kama mche.
Lakini mwanadamu hufa na kuwekwa mbali;
Hakika anakata roho
Na yuko wapi ?
Kama vile maji yanavyotoweka baharini,
Na mto ukakauka na kukauka,
Ndivyo mwanadamu hulala chini, asiinuke.
Mpaka mbingu zisiwepo tena,
Hawataamka Wala kuamshwa kutoka katika usingizi wao.”

kwa haya haya maisha yetu magumu ya kila siku yaliyojaa njaa na dhiki ,mahangaiko ya nafsi zetu ,basi tusiache kuamini na kumtumainia Mungu maana yeye ni mwenye nguvu na uwezo mkubwa wa ajabu!.
β€œBali kama mlima unavyoanguka nakubomoka,
Na kama vile mwamba unavyoondolewa mahali pake;
Kama vile maji yanavyoyamaliza mawe,
Na kama mito inavyosafisha udongo wa nchi;
Kwa hivyo Unaharibu matumaini ya mwanadamu.
Unamshinda milele, naye atapita;
Unabadilisha sura yake na kumfukuza.
Wanawe huheshimiwa, naye hajui ;
Wameshushwa, wala yeye haoni .
Lakini mwili wake utakuwa na uchungu kwa ajili yake,
Na nafsi yake itaomboleza juu yake.”

Binafsi ………………………….
mtindo wa msisha ,vyakula,madawa, ndio huondoa watu mapema
 
Wapi huko?,Dunia nzima?
Be specific sema Tanzagiza
Sababu:-
1.Lifesyle/vyakula
-----yaani kula pizza,vyakula vya kukalangiza,imekua ujanja,mtu anakula kitimoto kilo Moja Kila wiki,ili awakomoe wasiokulaπŸ˜…πŸ˜‚πŸ€£......kula matunda,mboga imekua ujinga
2.Matumizi ya pombe
-yameongezeka-Hadi JF Kuna mada maalum ya wanywa pombe
-chuo ni sehemu ya kujifunzia kunywa pombe
-kijana asipokunywa pombe ni mpumbavu
3.Pombe feki
Yaani pombe yenyewe tu yenye sumu ya ethanol ni hatari,.....inachukua chini ya miaka 5 kuua Ini,125 mls 40% AVB,per day lakini hata pia 125mls 40%/week kwa miaka 10, huyu mtu asipokua marehemu basi,atakua anawaingizia pesa gastroenterologists(kufa kufaana)..........sasa pombe feki Zina ethanol,Zinci,manganese,chromium,butaneπŸ˜ƒπŸ˜
*4.Hivi kuna mwanamke ama mwanaume Malaya havuti shisha,hapa Dar?
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜†.......
-hivi Kuna mwanamke ama mwanaune anayetembea na mke wa mtu hafiri/hafirwi siku hizi?πŸ˜ŸπŸ˜„πŸ˜„
-kuna mwanachuo ambaye hanywi wine ama konyagi jameni?
-raha ya kufira.na si haina haja ya kutumia condomu,si ndio utamu wakeπŸ˜πŸ˜ƒ
5.Ajali
-Vyombo vya usafiri vimeongezeka
-yaani Barabara Ile Ile lane mbili ya Dar-Mwanza ambayo wakina Karl peters waliitumia kugundua Lake Victoria leo inatumika hio hio,parking,breakdown,overtaking......huu si uhanithi huu?πŸ˜ƒπŸ˜ƒ,hadi kuna wanazi wanashindanisha speed za mabasi,......hata JF kuna nyuzi za mtu kujisifia gari yake imekimbia sana alivoenda Tabora masaa 6 tu
7.kijana unawezaje kuishi bila kuvuta sigara eti?
-sigara ni leading cause of lung cancer,and all respiratory problems
8.Unaishiji Dar huvuti shisha?
Puff Moja la shisha ni sawa na Sigara 200
9.kijana unakuaje hauvuti bangi?
-Bangi ni sababu kubwa ya psychosis Kwa pre exposed genetic individuals worldwide,
10.Transactional sexual workers
Bora Malaya wanaojiuza kuliko Hawa,nitakufundisha jinsi ya kuwajua:-
-umeoa mke mzuri,sababu una pesa:uliyemuoa ni malaya=transactional sexual workers,
-mwanamke ambaye yupo tayari apate kazi,offer,cheo,gari,nyumba,biashara ama favor yeyote ni transactional sexual workers=MALAYA
-kuna Binti anaweza kukataa kutotumia kondomu na ameahidiwa atalipiwa Kodi mwaka mzima?
-kuna Binti anasoma College ama chuo Kikuu,ama hasomi Hana kazi,ama ana kazi ya kuunga unga,ama tufanye amajiriea kabisa serikaliniπŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„, atakataa kupewa Used car,Rav 4 nyekundu miss Tanzania,kwa sharti la kufi.rwa na sponsor?πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†
Google,maana ya transactional sexual intercourse/worker,kwa ukombozi wa afya na akili yako rafiki yangu,ujifunze zaidi
Wengi tumeoa Malaya tuna wapenzi,wachumba,magirlfriend malaya:Hawa hawaridhiki,wao wata demand Kila kitu kwenye ndoa/mahusiano,watakutia pressure,wataharibu afya yako ya akili,watakuambukiza magonjwa
11.Umasikini,Umasikini,Umasikini/nchi masikini*

Tanzagiza ndio sehemu pekee duniani 95%ya raia wanamiliki gari used ,nguo used,mke usedπŸ˜€πŸ˜ƒ

Hospitali zipo ndio lakini Ujuzi,vipimo dawa ni low quality,yaani ni third class health system,............ambayo zaidi ya 80% ya raia pia hawawezi afford.........mukiambiwa mukamuone daktari bingwa mbobezi munajibu kwani yupo uchi?,ila kufakamia mashisha,mapombe na Malaya mupo kifua mbele

Kukaa ICU pale Agha Khan siku 4 ni inazidi kipato cha mtanzania kwa mwakaπŸ˜€πŸ˜†πŸ˜†,yes Agha Khan ndio hospital yenye world class ya hizo nchi zenye longer life span
NOTE
nchi zenye life span kubwa kama Japan,Hong Kong,Singapore........95% ya hizo sababu kwao hazipo na kama zipo kwa kiwango kidogo sana
Maisha bora na marefu sio miujiza ni juhudi
 
Hiki ndio hata mimi nilijaribu kusema.
 
Ni kweli kabisa
 
Nadhani alichoandika kipo kweli.

Zamani wazee wa 80+ ulikuwa ukienda kijijini unawakuta wengi Sana Ila sasa hivi wanahesabika
Labda wanaenda kuishi na kufia mjini kwa watoto wao au ndugu zao.
Inawezekana hao wa huko vijijini wanawahi kufa ila wa mjini wanaishi zaidi.
 
Habari za vifo vya watu unazipata kwa haraka.
Labda uje na data kamili ndio tutaamini .
 
Africa majitu yana ulaji mbovu tutaacha kufa mapema kweli?
 
WANAUME TUNAUWAWA NA WANAWAKE
 
Hii coment ni kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…