Ukiangali pamoja na teknolojia kuwa kubwa .
Hosptali kuwa nyingi
Madawa kuwa mengi
Ila watu wanakufa wakiwa na umri mdogo Sana .
Life expectancy Kama imeshuka .
Kwenye familia yangu hakuna MTU hata mmoja mwenye umri wa miaka 80+ yrs.
Ila Bibi yangu alifariki mwaka 2003 alikufa na 84 .
Sasa hivi MTU kutoboa 50 imekuwa kasheshe na akitoboa 50 tayari Ana kisukari , pressure na magonjwa Kama yote.
Wapi huko?,Dunia nzima?
Be specific sema
Tanzagiza
Sababu:-
1.Lifesyle/vyakula
-----yaani kula pizza,vyakula vya kukalangiza,imekua ujanja,mtu anakula kitimoto kilo Moja Kila wiki,ili awakomoe wasiokula😅😂🤣......kula matunda,mboga imekua ujinga
2.Matumizi ya pombe
-yameongezeka-Hadi JF Kuna mada maalum ya wanywa pombe
-chuo ni sehemu ya kujifunzia kunywa pombe
-kijana asipokunywa pombe ni mpumbavu
3.Pombe feki
Yaani pombe yenyewe tu yenye sumu ya ethanol ni hatari,.....inachukua chini ya miaka 5 kuua Ini,125 mls 40% AVB,per day lakini hata pia 125mls 40%/week kwa miaka 10, huyu mtu asipokua marehemu basi,atakua anawaingizia pesa gastroenterologists(kufa kufaana)..........sasa pombe feki Zina ethanol,Zinci,manganese,chromium,butane😃😁
*4.Hivi kuna mwanamke ama mwanaume Malaya havuti shisha,hapa Dar?
😀😁😆.......
-hivi Kuna mwanamke ama mwanaune anayetembea na mke wa mtu hafiri/hafirwi siku hizi?😟😄😄
-kuna mwanachuo ambaye hanywi wine ama konyagi jameni?
-raha ya kufira.na si haina haja ya kutumia condomu,si ndio utamu wake😁😃
5.Ajali
-Vyombo vya usafiri vimeongezeka
-yaani Barabara Ile Ile lane mbili ya Dar-Mwanza ambayo wakina Karl peters waliitumia kugundua Lake Victoria leo inatumika hio hio,parking,breakdown,overtaking......huu si uhanithi huu?😃😃,hadi kuna wanazi wanashindanisha speed za mabasi,......hata JF kuna nyuzi za mtu kujisifia gari yake imekimbia sana alivoenda Tabora masaa 6 tu
7.kijana unawezaje kuishi bila kuvuta sigara eti?
-sigara ni leading cause of lung cancer,and all respiratory problems
8.Unaishiji Dar huvuti shisha?
Puff Moja la shisha ni sawa na Sigara 200
9.kijana unakuaje hauvuti bangi?
-Bangi ni sababu kubwa ya psychosis Kwa pre exposed genetic individuals worldwide,
10.Transactional sexual workers
Bora Malaya wanaojiuza kuliko Hawa,nitakufundisha jinsi ya kuwajua:-
-umeoa mke mzuri,sababu una pesa:uliyemuoa ni malaya=transactional sexual workers,
-mwanamke ambaye yupo tayari apate kazi,offer,cheo,gari,nyumba,biashara ama favor yeyote ni transactional sexual workers=MALAYA
-kuna Binti anaweza kukataa kutotumia kondomu na ameahidiwa atalipiwa Kodi mwaka mzima?
-kuna Binti anasoma College ama chuo Kikuu,ama hasomi Hana kazi,ama ana kazi ya kuunga unga,ama tufanye amajiriea kabisa serikalini😀😃😄, atakataa kupewa Used car,Rav 4 nyekundu miss Tanzania,kwa sharti la kufi.rwa na sponsor?😃😄😁😆
Google,maana ya
transactional sexual intercourse/worker,kwa ukombozi wa afya na akili yako rafiki yangu,ujifunze zaidi
Wengi tumeoa Malaya tuna wapenzi,wachumba,magirlfriend malaya:Hawa hawaridhiki,wao wata demand Kila kitu kwenye ndoa/mahusiano,watakutia pressure,wataharibu afya yako ya akili,watakuambukiza magonjwa
11.Umasikini,Umasikini,Umasikini/nchi masikini*
Tanzagiza ndio sehemu pekee duniani 95%ya raia wanamiliki gari used ,nguo used,mke used😀😃
Hospitali zipo ndio lakini Ujuzi,vipimo dawa ni low quality,yaani ni third class health system,............ambayo zaidi ya 80% ya raia pia hawawezi afford.........mukiambiwa mukamuone daktari bingwa mbobezi
munajibu kwani yupo uchi?,ila kufakamia mashisha,mapombe na Malaya mupo kifua mbele
Kukaa ICU pale Agha Khan siku 4 ni inazidi kipato cha mtanzania kwa mwaka😀😆😆,yes Agha Khan ndio hospital yenye world class ya hizo nchi zenye longer life span
NOTE
nchi zenye life span kubwa kama Japan,Hong Kong,Singapore........95% ya hizo sababu kwao hazipo na kama zipo kwa kiwango kidogo sana
Maisha bora na marefu sio miujiza ni juhudi