Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Simba magoli mawili wamefungwa kwa mechi ya ugenini,tena mechi moja, wakati Azam kafungwa magoli mawili akiwa nyumbani kwa mechi mbili.Ipeleke ya 3 ili uwe na amani....naona toka jana hamjalala...waambie wawadrop Simba hapo namba 3..
Rafiki yangu kipenzi.Ipeleke ya 3 ili uwe na amani....naona toka jana hamjalala...waambie wawadrop Simba hapo namba 3..
Kwa sababu Simba ni timu kongwe ndio maana inakaa juu. Wanaoumia wahame nchiKisheria kama timu zimelingana kila kitu kwenye msimamo wanapangwa kwa Alphabet A-Z
Angalia IHEFU na KAGERA kisha angalia COASTAL na TANZANIA PRISON wamelingana kila kitu na wamepangwa kwa ALPHABET vizuri tu ila angalia kwa SIMBA na AZAM yaani S imekaa juu ya A na wamelingana kila kitu
Mpira wetu umekua sana ila unaharibiwa na Mahaba ya SIMBA na YANGA, Simba SC Tanzania hakupaswa kuwa nafasi ya 2 bali ni Azam FC Ndio walipaswa kuwa wapili
Haya mambo utayaona kwenye ligi yetu tuu.View attachment 2758181
Mmh maajabu hayatakuja kuisha, hizi akili huwa ni zenu kabisa au mnaazimwa?Simba magoli mawili wamefungwa kwa mechi ya ugenini,tena mechi moja, wakati Azam kafungwa magoli mawili akiwa nyumbani kwa mechi mbili.
Tofauti magoli mawili kwa mechi moja na magoli mawili kwa mechi mbili ,magoli ya kufungwa ukiwa nyumbani na magoli ya kufungwa ukiwa ugenini
AahaaaaaAliyeanza kufikisha point 9 ni Simba.
Kati ya Ihefu na Kagera Sukari ipi ni klabu kongwe?Kwa sababu Simba ni timu kongwe ndio maana inakaa juu. Wanaoumia wahame nchi
Ingekuwa ligi imefika tamati ungekuwa na hoja lakini ndiyo kwanzaaaaa asubuhi. Kama vipi andikeni barua FIFA, huu utoto sasa.Kisheria kama timu zimelingana kila kitu kwenye msimamo wanapangwa kwa Alphabet A-Z
Angalia IHEFU na KAGERA kisha angalia COASTAL na TANZANIA PRISON wamelingana kila kitu na wamepangwa kwa ALPHABET vizuri tu ila angalia kwa SIMBA na AZAM yaani S imekaa juu ya A na wamelingana kila kitu
Mpira wetu umekua sana ila unaharibiwa na Mahaba ya SIMBA na YANGA, Simba SC Tanzania hakupaswa kuwa nafasi ya 2 bali ni Azam FC Ndio walipaswa kuwa wapili
Haya mambo utayaona kwenye ligi yetu tuu.View attachment 2758181
Utoto tu unamsumbua akikua atajionea aibu mwenyeweKwani ikiwa hivyo unaumia nini?
Kwani Ikiwa hivyo ina maana wao Azam ni nafasi ya tatu?Kisheria kama timu zimelingana kila kitu kwenye msimamo wanapangwa kwa Alphabet A-Z
Angalia IHEFU na KAGERA kisha angalia COASTAL na TANZANIA PRISON wamelingana kila kitu na wamepangwa kwa ALPHABET vizuri tu ila angalia kwa SIMBA na AZAM yaani S imekaa juu ya A na wamelingana kila kitu
Mpira wetu umekua sana ila unaharibiwa na Mahaba ya SIMBA na YANGA, Simba SC Tanzania hakupaswa kuwa nafasi ya 2 bali ni Azam FC Ndio walipaswa kuwa wapili
Haya mambo utayaona kwenye ligi yetu tuu.View attachment 2758181
“Yanga nzima wenye akili ni wawili tu, Baba yangu Mzee Manara na Jakaya Kikwete tu waliobaki hawana akili” - Haji Sunday Manara, June 2018Kisheria kama timu zimelingana kila kitu kwenye msimamo wanapangwa kwa Alphabet A-Z
Angalia IHEFU na KAGERA kisha angalia COASTAL na TANZANIA PRISON wamelingana kila kitu na wamepangwa kwa ALPHABET vizuri tu ila angalia kwa SIMBA na AZAM yaani S imekaa juu ya A na wamelingana kila kitu
Mpira wetu umekua sana ila unaharibiwa na Mahaba ya SIMBA na YANGA, Simba SC Tanzania hakupaswa kuwa nafasi ya 2 bali ni Azam FC Ndio walipaswa kuwa wapili
Haya mambo utayaona kwenye ligi yetu tuu.View attachment 2758181
Kanuni gani hiyo?Simba magoli mawili wamefungwa kwa mechi ya ugenini,tena mechi moja, wakati Azam kafungwa magoli mawili akiwa nyumbani kwa mechi mbili.
Tofauti magoli mawili kwa mechi moja na magoli mawili kwa mechi mbili ,magoli ya kufungwa ukiwa nyumbani na magoli ya kufungwa ukiwa ugenini
Yale yale ya mfungaji bora msimu uliopitaAliyeanza kufikisha point 9 ni Simba.