Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kisheria kama timu zimelingana kila kitu kwenye msimamo wanapangwa kwa Alphabet A-Z
Angalia IHEFU na KAGERA kisha angalia COASTAL na TANZANIA PRISON wamelingana kila kitu na wamepangwa kwa ALPHABET vizuri tu ila angalia kwa SIMBA na AZAM yaani S imekaa juu ya A na wamelingana kila kitu
Mpira wetu umekua sana ila unaharibiwa na Mahaba ya SIMBA na YANGA, Simba SC Tanzania hakupaswa kuwa nafasi ya 2 bali ni Azam FC Ndio walipaswa kuwa wapili
Haya mambo utayaona kwenye ligi yetu tuu.