Kwanini Simba wamesherehekea mno kuifunga Yanga?

Kweli Mbumbumbu ni mbumbumbu tu, kimataifa hakuna dhana ya timu Yangu Inashika nafasi ya ngapi katika rank za CAF kwakua Kila mwaka tangu mashindano ya anzishwe izo namba hubadilika.
CAF timu zinashindana Kwa kutwaa Mataji.
Sio kama uku kwetu Simba inajivunia kushika nafasi ya pili chini ya Yanga, kule CAF hakuna upuuzi huo, kusema wewe wa pili au watatu kule ni aibu, kule yanaongelewa Mataji tu.
Inshallah soon Yanga tunakwenda kutwaa Taji la kwanza kule CAF.
Wacha kujaza wenzio ujinga.Mashindano sio lazima timu ishinde ubingwa tu basi.
Kombe la Dunia kusingekuwa na seeding ili kupata makundi.Hivyo hivyo katika mashindano yote yanayosimamiwa na FIFA, CAF au UEFA.
Kwenye mashindano kuna malengo tofauti.Kuna timu zinashiriki kombe la dunia kwa hiyo zisishiriki kwa sababu haziwezi kuwa bingwa? Hizo ni fikra muflis.Kila timu ina malengo yake. Kuna timu ikifika makundi wanaridhika,ingine robofainali na kadhalika.Hata timu yako pia ina malengo yake.
Kufungwa ni sehemu ya mchezo lakini kusikufanye utafute visingizio.
 
Yanga haipo kwenye mashindano ya Caf kufurahi position izo ni fikra za kizamani, Yanga ni mabingwa wa ki historia wa Nchi hii.
Yanga inafikiria namna ya kutwaa ndio maana bench lake, wataalamu wake facility zake zina akisi katika Malengo Yake.
Inshallah soon Taji la kwanza la CAF litatua Jangwani mambo ya position mtabaki nayo Simba kwakua tumetofautiana Malengo.
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
1681886713361.jpg
 
Kosa walilolifanya Simba ni kutowafunga 5.Hizi kelele zilizobaki zingekoma.Kocha Nabi amechanganyikiwa.
Kiboko yake yupo alipotajiwa akaweweseka na kumtaja Mourinho.
Hata 8 wangefunga, hii ni kanuni ya timu kubwa kutanguliwa kufungwa na timu dhaifu dakika za mwanzoni kabisa za mchezo. Yanga walitolewa mchezoni na goli la mchongo la mapema na maamuzi ya hovyo ya waamuzi. Ukitaka kujua kuwa Simba ni timu ndogo sana angalia ilivyofungwa na Raja na itakavyonyoroshwa na Wydad mbele ya VAR. Ni heri yunaozipenda Simba na Yanga tuziambie ukweli timu zetu ili ziongeze juhudi badala ya kutanguliza unazi kwenye ukweli. Simba iliingia kwenye mechi ile kama underdog kwa yanga, benchi la ufundi, uongozi, wachezaji na hata mashabiki wanalijuwa hilo lakini kwa mshangao wakastaajabishwa na matokeo, na ndio chanzo halisi cha wadau kushangalia hadi wengine kunyea chupi zao kwa raha. yaani ni kama teke la mwisho la punda kabla ya kukata roho.
 
Eti Yanga ni nini kuliko Simba? Twende kwenye takwimu za kimataifa tukianzia CAF Yanga ni ya ngapi na Simba ni ya ngapi? Au ubora upi unaouzungumzia?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mo aliingia simba kununua game nyingi za Kwamkapa, hii inafahamika mbona? Ukweli huu ndio unaozifanya hata timu za NBC kugoma kuingia vyumba vya kubadilisha nguo Kwamkapa, wako tayari wapigwe faini kuliko kuingia vyumbani. Swala hili halipewi nguvu na TFF kwakuwa na wao ni sehemu ya mkakati. Yaani mkakati wa Simba na TFF ulianza kwa Simba kubakiziwa miporo hadi 11 kwenye ligi, na baadae kwenye uloz, then kwenye pulizapuliza vyumbani, then kununua waamuzi na mwisho kabisa kujipenyeza caf kupangiwa timu hafifu kwenye hatua za awali. Tunajuwa kaka kilichofanyika na kinachofanyika kwa simba kuzipata hizo robo fainali, na ndio maana mara zote timu haivuki hatua hii kwakuwa wanafika hapo kwa michongo.
 
Hasira zote na makelele yote ni kwa hisani ya Inonga na Kibu D pamoja na timu nzima ya Simba.Good work.
 
Kidomodomo kilizidi mno, naona sasa hivi mji umetulia, mlitaka kutuzoea zoea saana.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui

thamani ya timu ni mataji sio derby, ombeni mungu Simba itwae ubingwa ili iwe timu kubwa. Kushangilia sanaaaaana derby na kuukosa ubingwa ni sawa na kuvaa shati bila suruali.
 
Kwani Simba ameipataje nafasi ya kushiri champions, alikuwa bigwa wa nini msimu uliopita? Simba imeshuka viwango, hata kufika hapo alipo alipangiwa uchochoro wa big bullets, de agosto, kisha Vipers vibonde kwenye mashindano.
Ila jamani kibu ana dhambi da[emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums297968909.jpg
 
Kaka timu Zina kupanda na kushuka, Simba imeshuka inasaidiwa na takwimu za zamani wakati Iko juu, hata hivyo hakuna asiyejua kuwa Simba waliwasha moto kiwanjani kule SA. Sasa kama waliweza kufanya vile kule SA je kwamkapa walifanya mangapi?
Bwanaeeee mmefungwaaa acha mbambamba
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kweli Mbumbumbu ni mbumbumbu tu, kimataifa hakuna dhana ya timu Yangu Inashika nafasi ya ngapi katika rank za CAF kwakua Kila mwaka tangu mashindano ya anzishwe izo namba hubadilika.
CAF timu zinashindana Kwa kutwaa Mataji.
Sio kama uku kwetu Simba inajivunia kushika nafasi ya pili chini ya Yanga, kule CAF hakuna upuuzi huo, kusema wewe wa pili au watatu kule ni aibu, kule yanaongelewa Mataji tu.
Inshallah soon Yanga tunakwenda kutwaa Taji la kwanza kule CAF.
Wapumbavu mpo wengi dah[emoji23][emoji23] upo kombe la waliofeli usisahau hilo na jumapili umetobolewa tundu liko wazi kazi Kwa rivers kuingiza tu yan
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Yanga haipo kwenye mashindano ya Caf kufurahi position izo ni fikra za kizamani, Yanga ni mabingwa wa ki historia wa Nchi hii.
Yanga inafikiria namna ya kutwaa ndio maana bench lake, wataalamu wake facility zake zina akisi katika Malengo Yake.
Inshallah soon Taji la kwanza la CAF litatua Jangwani mambo ya position mtabaki nayo Simba kwakua tumetofautiana Malengo.
Bwanaee mmefungwaaa maneno mengi ya nini unafkiri mashindano ya CAF ni sawa na kucheza na Gwambina[emoji23][emoji23][emoji23] huwezi kutwaa taji lolote la CAF labda mkaliibe
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Hata 8 wangefunga, hii ni kanuni ya timu kubwa kutanguliwa kufungwa na timu dhaifu dakika za mwanzoni kabisa za mchezo. Yanga walitolewa mchezoni na goli la mchongo la mapema na maamuzi ya hovyo ya waamuzi. Ukitaka kujua kuwa Simba ni timu ndogo sana angalia ilivyofungwa na Raja na itakavyonyoroshwa na Wydad mbele ya VAR. Ni heri yunaozipenda Simba na Yanga tuziambie ukweli timu zetu ili ziongeze juhudi badala ya kutanguliza unazi kwenye ukweli. Simba iliingia kwenye mechi ile kama underdog kwa yanga, benchi la ufundi, uongozi, wachezaji na hata mashabiki wanalijuwa hilo lakini kwa mshangao wakastaajabishwa na matokeo, na ndio chanzo halisi cha wadau kushangalia hadi wengine kunyea chupi zao kwa raha. yaani ni kama teke la mwisho la punda kabla ya kukata roho.
Maskiniiiiii roho bado inakupwitapwita? Kibu Denisssssssssssssssss[emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Mo aliingia simba kununua game nyingi za Kwamkapa, hii inafahamika mbona? Ukweli huu ndio unaozifanya hata timu za NBC kugoma kuingia vyumba vya kubadilisha nguo Kwamkapa, wako tayari wapigwe faini kuliko kuingia vyumbani. Swala hili halipewi nguvu na TFF kwakuwa na wao ni sehemu ya mkakati. Yaani mkakati wa Simba na TFF ulianza kwa Simba kubakiziwa miporo hadi 11 kwenye ligi, na baadae kwenye uloz, then kwenye pulizapuliza vyumbani, then kununua waamuzi na mwisho kabisa kujipenyeza caf kupangiwa timu hafifu kwenye hatua za awali. Tunajuwa kaka kilichofanyika na kinachofanyika kwa simba kuzipata hizo robo fainali, na ndio maana mara zote timu haivuki hatua hii kwakuwa wanafika hapo kwa michongo.
Hahahahaha manara kajaza watu upumbavu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
thamani ya timu ni mataji sio derby, ombeni mungu Simba itwae ubingwa ili iwe timu kubwa. Kushangilia sanaaaaana derby na kuukosa ubingwa ni sawa na kuvaa shati bila suruali.
Hivi mbona Morrison alivyofunga ile Moja mlishangilia mwezi mzima March 8/2020? Kwani mlichukua ubingwa? Kinachokuuma ni kwamba mmebongolewa na wahuni Inonga na Kibu hakuna kingine hata ufanyeje huu ndio ukweli
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
thamani ya timu ni mataji sio derby, ombeni mungu Simba itwae ubingwa ili iwe timu kubwa. Kushangilia sanaaaaana derby na kuukosa ubingwa ni sawa na kuvaa shati bila suruali.
we ushanyolewa kaaa kimyaa.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Nimeulizwa swali linanipa tabu kidogo kulijibu.Hivi kinyume cha kukanda ni nini?
 
Wamesherekea kwa sababu wameshinda.Kingine nadhani sababu wameweza kukumbusheni kwamba mnapaishwa sana angali si sahihi.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom