Wacha kujaza wenzio ujinga.Mashindano sio lazima timu ishinde ubingwa tu basi.Kweli Mbumbumbu ni mbumbumbu tu, kimataifa hakuna dhana ya timu Yangu Inashika nafasi ya ngapi katika rank za CAF kwakua Kila mwaka tangu mashindano ya anzishwe izo namba hubadilika.
CAF timu zinashindana Kwa kutwaa Mataji.
Sio kama uku kwetu Simba inajivunia kushika nafasi ya pili chini ya Yanga, kule CAF hakuna upuuzi huo, kusema wewe wa pili au watatu kule ni aibu, kule yanaongelewa Mataji tu.
Inshallah soon Yanga tunakwenda kutwaa Taji la kwanza kule CAF.
Kombe la Dunia kusingekuwa na seeding ili kupata makundi.Hivyo hivyo katika mashindano yote yanayosimamiwa na FIFA, CAF au UEFA.
Kwenye mashindano kuna malengo tofauti.Kuna timu zinashiriki kombe la dunia kwa hiyo zisishiriki kwa sababu haziwezi kuwa bingwa? Hizo ni fikra muflis.Kila timu ina malengo yake. Kuna timu ikifika makundi wanaridhika,ingine robofainali na kadhalika.Hata timu yako pia ina malengo yake.
Kufungwa ni sehemu ya mchezo lakini kusikufanye utafute visingizio.