Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli, hakuna timu isiyopenda kuwa bingwa, hakuna timu yennye malengo ya kuishia makundi TU robo fainali TU au nusu final TU, huko ni kuwazuga wanachama na mashabiki TU wasiwatimue. Msimu wa 4 wewe unaishia makundi au robo fainali, umebemendwa¿Wacha kujaza wenzio ujinga.Mashindano sio lazima timu ishinde ubingwa tu basi.
Kombe la Dunia kusingekuwa na seeding ili kupata makundi.Hivyo hivyo katika mashindano yote yanayosimamiwa na FIFA, CAF au UEFA.
Kwenye mashindano kuna malengo tofauti.Kuna timu zinashiriki kombe la dunia kwa hiyo zisishiriki kwa sababu haziwezi kuwa bingwa? Hizo ni fikra muflis.Kila timu ina malengo yake. Kuna timu ikifika makundi wanaridhika,ingine robofainali na kadhalika.Hata timu yako pia ina malengo yake.
Kufungwa ni sehemu ya mchezo lakini kusikufanye utafute visingizio.
Hakuna mtu Yanga anaweza kushangilia namna Simba wanavyoshangilia. Simba inafungwa hadi watu muhimu wanatangaza kujiuzulu majukumu Yao.Hivi mbona Morrison alivyofunga ile Moja mlishangilia mwezi mzima March 8/2020? Kwani mlichukua ubingwa? Kinachokuuma ni kwamba mmebongolewa na wahuni Inonga na Kibu hakuna kingine hata ufanyeje huu ndio ukweli
Miaka 30 umeishia wapi?Fluku ya kuingia losers Cup mwaka huu ndio inawafanya uone mmefanikiwa?Sio kweli, hakuna timu isiyopenda kuwa bingwa, hakuna timu yennye malengo ya kuishia makundi TU robo fainali TU au nusu final TU, huko ni kuwazuga wanachama na mashabiki TU wasiwatimue. Msimu wa 4 wewe unaishia makundi au robo fainali, umebemendwa¿
Timu Inayoshinda Duniani Kote Ndiyo Borandio ukweli wenyewe, Simba sio bora kuliko Yanga, ni chance tu ilitokea, hata mashabiki wa simba walishangaa sana kupitiliza kuona kile kilichotokea. yaani ni sawa na Man city kufungwa na Fulham
Wenye akili ni watatu kaongezeka na waitiKuna wakati unajikuta tu umeshasoma post kutoka kwa mtu mpumbavu. Mpumbavu wa Moira, asiyejua anaongea Nini.
Ila Nina mashaka na unachotumia kufikiri si kichwa.
Utopoloni wenye maarifa Ni wawili tu!
Acha upolimilaiKweli Mbumbumbu ni mbumbumbu tu, kimataifa hakuna dhana ya timu Yangu Inashika nafasi ya ngapi katika rank za CAF kwakua Kila mwaka tangu mashindano ya anzishwe izo namba hubadilika.
CAF timu zinashindana Kwa kutwaa Mataji.
Sio kama uku kwetu Simba inajivunia kushika nafasi ya pili chini ya Yanga, kule CAF hakuna upuuzi huo, kusema wewe wa pili au watatu kule ni aibu, kule yanaongelewa Mataji tu.
Inshallah soon Yanga tunakwenda kutwaa Taji la kwanza kule CAF.
Simba ya Sasa bila inategemea Chama na Mzamiru TU basi.. Azam na Simba ni Athumañi na Osman, Osman atamwachia Athumañi apite ili apate pa kuuficha usoKubahatisha goli moja ndio unaweza kuiita fluke ndio Yanga mnabahatisha kwa vigoli vya fluke.Mmefungwa 2 na mna bahati sana zilikuwa ziwe 5.Eti timu imekamilika mngetolewa Champions League na timu ambayo hata robo fainali haikufika?
Kuhusu uchawi ndio falsafa yenu.Kuingia kwenye milango isiyoruhusiwa,kuruka ukuta na kupiga mpira nje mara mnapoanza.Tukikutana,Tanga fimbo ni kama kawaida na zitakuwa zaidi ya 2.
Hapo unajifaragua TU, siku robertinho alivyomtoa Chama uwanjani wewe ulikuwa wa kwanza kung'aka na kujikojolea.. Wapenda mpira waliwaelewa wale wote waliomlalamikia kocha mgeni kumtoa Chama, waliUmebadilisha cha kusema.Hivi kweli na ujinga ulionao unaamini timu inaweza kutegemea wachezaji wawili?Ukiwa unaamini hivyo chukua makuli tisa ukiwepo na wewe halafu weka wachezaji 2 unaowapenda wewe uingie kwenye ligi ushinde.Hivi mnatumia makamasi kufikiri?
Hapo unajifaragua TU, siku robertinho alivyomtoa Chama uwanjani wewe ulikuwa wa kwanza kung'aka na kujikojolea.. Wapenda mpira waliwaelewa wale wote waliomlalamikia kocha mgeni kumtoa Chama, walifamu Chama ndio kila kituUmebadilisha cha kusema.Hivi kweli na ujinga ulionao unaamini timu inaweza kutegemea wachezaji wawili?Ukiwa unaamini hivyo chukua makuli tisa ukiwepo na wewe halafu weka wachezaji 2 unaowapenda wewe uingie kwenye ligi ushinde.Hivi mnatumia makamasi kufikiri?
Unaongea kama mtoto mdogo, kwani wewe hukuwepo wakati kocha Robatinho anazomewa kwa kumtoa Chama? Kwani Chama alikuwa peke yake uwanjani? Hukuna wachezaji wengine? Kwanini ilikuwa lazima Chama asitolewe? Ubishi wa aina hii sio size yangu.Umebadilisha cha kusema.Hivi kweli na ujinga ulionao unaamini timu inaweza kutegemea wachezaji wawili?Ukiwa unaamini hivyo chukua makuli tisa ukiwepo na wewe halafu weka wachezaji 2 unaowapenda wewe uingie kwenye ligi ushinde.Hivi mnatumia makamasi kufikiri?
Metacha ni mchezaji na mgunda ni kocha. Mchezaji anaingia katika timu (anasajiliwa) katika vipindi viwili tu katika msimu, lakini kocha anaingia muda wowote, hata timu kumi anaweza akabadili kwa msimu mmoja. So, ni rahisi kumuacha na kumuajiri kocha maana mapengo yanazibika na hayana kanuni ngumu, lakini mchezaji haachwi au kusajiliwa kirahisi muda wowote (mfano Feisal, Yanga hawawezi kumuacha kirahisi, ni heri kwao wamuache Nabi kuliko Feisal katikati ya msimu).....Yaana Metacha kwenda Yanga sio sawa lakini Mgunda kwenda simba ilikuwa sawa.