Kwanini Simba wamesherehekea mno kuifunga Yanga?

Kwanini Simba wamesherehekea mno kuifunga Yanga?

Wacha kujaza wenzio ujinga.Mashindano sio lazima timu ishinde ubingwa tu basi.
Kombe la Dunia kusingekuwa na seeding ili kupata makundi.Hivyo hivyo katika mashindano yote yanayosimamiwa na FIFA, CAF au UEFA.
Kwenye mashindano kuna malengo tofauti.Kuna timu zinashiriki kombe la dunia kwa hiyo zisishiriki kwa sababu haziwezi kuwa bingwa? Hizo ni fikra muflis.Kila timu ina malengo yake. Kuna timu ikifika makundi wanaridhika,ingine robofainali na kadhalika.Hata timu yako pia ina malengo yake.
Kufungwa ni sehemu ya mchezo lakini kusikufanye utafute visingizio.
Sio kweli, hakuna timu isiyopenda kuwa bingwa, hakuna timu yennye malengo ya kuishia makundi TU robo fainali TU au nusu final TU, huko ni kuwazuga wanachama na mashabiki TU wasiwatimue. Msimu wa 4 wewe unaishia makundi au robo fainali, umebemendwa¿
 
Hivi mbona Morrison alivyofunga ile Moja mlishangilia mwezi mzima March 8/2020? Kwani mlichukua ubingwa? Kinachokuuma ni kwamba mmebongolewa na wahuni Inonga na Kibu hakuna kingine hata ufanyeje huu ndio ukweli
Hakuna mtu Yanga anaweza kushangilia namna Simba wanavyoshangilia. Simba inafungwa hadi watu muhimu wanatangaza kujiuzulu majukumu Yao.
 
Sio kweli, hakuna timu isiyopenda kuwa bingwa, hakuna timu yennye malengo ya kuishia makundi TU robo fainali TU au nusu final TU, huko ni kuwazuga wanachama na mashabiki TU wasiwatimue. Msimu wa 4 wewe unaishia makundi au robo fainali, umebemendwa¿
Miaka 30 umeishia wapi?Fluku ya kuingia losers Cup mwaka huu ndio inawafanya uone mmefanikiwa?
Tambo na uwezo ni mambo tofauti.Mara ya mwisho kuingia makundi ilikuwa 1998.Mmejitutumua mmeanza ngebe.Hayo mafanikio ndio unatamba nayo?Maji ya kwenye kifuu nzi kaona ni bahari.Halafu kombe lenyewe la walioshindwa.
 
ndio ukweli wenyewe, Simba sio bora kuliko Yanga, ni chance tu ilitokea, hata mashabiki wa simba walishangaa sana kupitiliza kuona kile kilichotokea. yaani ni sawa na Man city kufungwa na Fulham
Timu Inayoshinda Duniani Kote Ndiyo Bora
Kama Nenda Kaulize Huku:-

FIFA
CAF
CECAFA
TFF

Utapewa Tafsiri Ambayo Haitakuwa Kinyume Na Hicho Hapo Juu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kweli Mbumbumbu ni mbumbumbu tu, kimataifa hakuna dhana ya timu Yangu Inashika nafasi ya ngapi katika rank za CAF kwakua Kila mwaka tangu mashindano ya anzishwe izo namba hubadilika.
CAF timu zinashindana Kwa kutwaa Mataji.
Sio kama uku kwetu Simba inajivunia kushika nafasi ya pili chini ya Yanga, kule CAF hakuna upuuzi huo, kusema wewe wa pili au watatu kule ni aibu, kule yanaongelewa Mataji tu.
Inshallah soon Yanga tunakwenda kutwaa Taji la kwanza kule CAF.
Acha upolimilai
 
Attachments

  • 6370C179-B7EA-4BBA-9BB4-1D43603DA65F.png
    6370C179-B7EA-4BBA-9BB4-1D43603DA65F.png
    467 KB · Views: 3
Mtu makini anashangilia timu yake kushinda, lakini anashangilia responsibly. Kuna wakati yanga ilikuwa mbovu sana lakini ikawa inaigomea simba kuifunga, mimi nilikuwa wa kwanza kusema tumetoa sare na simba ndio lakini kwa kubahatisha tu, fluke. Kwakuwa naupenda mpira kwanza kabla ya timu. Simba imeifunga yanga kweli lazima tuwapongeze kwa hili kwasababu kama yanga ingeifunga kwenye derby ile Yanga ingekwenda kupoteza mechi yake na Rivers, wangejiamini mno, lakini kufungwa na Simba kumewafanya yanga yote kuanzia wachezaji benchi la ufundi, uongozi na mashabiki kurudi kwenye mstari wa mpira wa miguu; wooooote kujiamini kulikwisha wakajikuta kumbe bado wanahitaji kuongeza bidii.

Hata Simba ni timu yetu Tanzania, ni watanzania pia, pamoja na utani wetu lakini ni watanzania wanaowakilisha tanzani. Pamoja na kuifunga yanga goli 2 pia wanatakiwa kuwepo watu wa kuaambia kuwa ushindi ule ulikuwa na makosa mengi ya waamuzi na wachezaji wa yanga wenyewe na hata benchi la ufundi la yanga pamoja na hali ya hewa ya siku ile pamoja na kufunga swaumu kwa baadhi ya wachezaji wa timu zote. Inawezekana kisiwe kipimo halisi cha kufunga na kufungwa. Lakini tunachoshangaa ni wadau woote wa simba kujitokeza na kuisifu sana, mno, kabisa timu ya Simba na kuibeza mno, kabisa na sanasana Yanga kama vile sio lolote.

Mechi za Rivers na Wydad, NBC na Azam sports championship zinaweza kutuambia ukweli zaidi kuhusu uwezo wa timu zetu msimu huu.
 
Wacha kuwa bad loser na kuzunguka zunguka.Makosa mengi ya marefa ni yapi?Hali ya hewa iliwasaidia vipi Simba?Mfungo wa Ramadhani ulianza tarehe 16 April?Yanga wachezaji wao pekee ndio walikuwa wamefunga.Eti inaweza isiwe kipimo halisi cha kufunga na kufungwa!!!
Kipimo cha kufunga na kufungwa ni magoli.
Na hata uje na uchambuzi wako wa kutafuta justification haiwezi hata mara moja kubadili ukweli kwamba Simba iliwafunga Yanga goli 2 tarehe 16 April 2023.Irespective ya matokeo yeyote ya baadaye matokeo ya tarehe 16 April hayabadiliki whether you like it or not.
 
Sema yanga mbona kama hii game haikuwa kwenye ratiba zetu maana tuko comfortable sana malengo ni Cafcc na FA huko watajua hawajui na NBC ni yetu
 
Waiibahatisha ndio maana walisherehekea kupita kiasi, fluke. Uwezo wa Yanga ni mkubwa mno kuliko wa Simba msimu huu anaebisha hili haitakii Simba mema. Yanga imekamilika idara zote Ina Ina kikosi kipana sana na kocha mzuri sana na uongozi makini sana. Simba Haina vyote hivi Wana uongozi ambao bado uko kwenye zama za mpira wa uchawi.
 
Kubahatisha goli moja ndio unaweza kuiita fluke ndio Yanga mnabahatisha kwa vigoli vya fluke.Mmefungwa 2 na mna bahati sana zilikuwa ziwe 5.Eti timu imekamilika mngetolewa Champions League na timu ambayo hata robo fainali haikufika?
Kuhusu uchawi ndio falsafa yenu.Kuingia kwenye milango isiyoruhusiwa,kuruka ukuta na kupiga mpira nje mara mnapoanza.Tukikutana,Tanga fimbo ni kama kawaida na zitakuwa zaidi ya 2.
 
Simba ya Sasa bila inategemea Chama na Mzamiru TU basi.. Azam na Simba ni Athumañi na Osman, Osman atamwachia Athumañi apite ili apate pa kuuficha uso
 
Umebadilisha cha kusema.Hivi kweli na ujinga ulionao unaamini timu inaweza kutegemea wachezaji wawili?Ukiwa unaamini hivyo chukua makuli tisa ukiwepo na wewe halafu weka wachezaji 2 unaowapenda wewe uingie kwenye ligi ushinde.Hivi mnatumia makamasi kufikiri?
 
Hapo unajifaragua TU, siku robertinho alivyomtoa Chama uwanjani wewe ulikuwa wa kwanza kung'aka na kujikojolea.. Wapenda mpira waliwaelewa wale wote waliomlalamikia kocha mgeni kumtoa Chama, wali
 
Umebadilisha cha kusema.Hivi kweli na ujinga ulionao unaamini timu inaweza kutegemea wachezaji wawili?Ukiwa unaamini hivyo chukua makuli tisa ukiwepo na wewe halafu weka wachezaji 2 unaowapenda wewe uingie kwenye ligi ushinde.Hivi mnatumia makamasi kufikiri?
Hapo unajifaragua TU, siku robertinho alivyomtoa Chama uwanjani wewe ulikuwa wa kwanza kung'aka na kujikojolea.. Wapenda mpira waliwaelewa wale wote waliomlalamikia kocha mgeni kumtoa Chama, walifamu Chama ndio kila kitu
 
Umebadilisha cha kusema.Hivi kweli na ujinga ulionao unaamini timu inaweza kutegemea wachezaji wawili?Ukiwa unaamini hivyo chukua makuli tisa ukiwepo na wewe halafu weka wachezaji 2 unaowapenda wewe uingie kwenye ligi ushinde.Hivi mnatumia makamasi kufikiri?
Unaongea kama mtoto mdogo, kwani wewe hukuwepo wakati kocha Robatinho anazomewa kwa kumtoa Chama? Kwani Chama alikuwa peke yake uwanjani? Hukuna wachezaji wengine? Kwanini ilikuwa lazima Chama asitolewe? Ubishi wa aina hii sio size yangu.
 
Halafu ikawaje Chama alipotolewa?Waliomzomea kocha ndio wana akili ya mgando kama ya kwako.Hao hao ndio leo wanambeba.Wewe ni plastic fan wa kuabudu mchezaji.Team ni a group of people.Ndio maana
mpira ni team work na sio drafti, bao au ngumi.
 
....Yaana Metacha kwenda Yanga sio sawa lakini Mgunda kwenda simba ilikuwa sawa.
Metacha ni mchezaji na mgunda ni kocha. Mchezaji anaingia katika timu (anasajiliwa) katika vipindi viwili tu katika msimu, lakini kocha anaingia muda wowote, hata timu kumi anaweza akabadili kwa msimu mmoja. So, ni rahisi kumuacha na kumuajiri kocha maana mapengo yanazibika na hayana kanuni ngumu, lakini mchezaji haachwi au kusajiliwa kirahisi muda wowote (mfano Feisal, Yanga hawawezi kumuacha kirahisi, ni heri kwao wamuache Nabi kuliko Feisal katikati ya msimu).

Singida walimtoa kwa Yanga kipa wao namba moja halafu wakabaki wanamtegemea kipa namba mbili na tatu, hicho ndicho kilichowashangaza wachambuzi. Yaani ni sawa na Yanga kuipa Mbeya City imchukue Djigui Diara katikati ya msimu, halafu ibaki na Johora
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom