Sasa na wewe unarudi kulekule kwenye vichwa vibovu, mifumo ya elimu wamesha jalibu wamefeli, hii ndio inathibitisha vichwa ni vibovu, wewe unarudi tena nyuma unasema zinahitajika jitihada za msingi zipi tena, baada ya miaka 50 ya kujitawala,njia ni hiyo tu ku copy properly na kusimamia properly,na hii copy tusha copy vitu vingi tu na vikisimamiwa vizuri vinafanya Kazi,tatizo ni usimamizi hakuna watu wanaiba wanakula rushwa hawafanywi kitu, rais mwenyewe hashtakiwi sasa kwanini asiibe, ataogopa nini we umeona wapi hii kama sio vichwa vibovu,niliwahi kuandika kwamba tumebinafsisha mpaka mashirika yaliyokua yanapata faida, sasa tubinafsishe na ikulu japo kwa kuanzia mkataba wa miaka Kumi,tutangaze tenda waje hapa aidha wachina au mkoloni wetu muingeleza watutengenezee mifumo mizuri labda tutasonga au unasemaje