Kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii, tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine?

The sphinx kabla Napoleon kuharibu pua na mdomo Kwa kutumia mabomu

 
Kwamba ukandaa tunaoishi ni wajua kali ndomana tunakuwa weusi siyo kweli. Vipi kuhusu ndugu zetu weusi wanaoishi ughaibuni, mbona nao bado wanazaa watoto weusi na ukanda ule siyo wa joto kali!!??
Siku hizi evolution pressures zimepungua sababu ya maendeleo. Mfano sayansi ya sasa inasema kuwa watu wanakuwa weupe ili waweze kutengeneza vitamin D. Lakini leo vyakula vyenye vitamini D ni kibao, kama maziwa na samaki.

Hii pia ndiyo sababu waeskimo(Inuits) si weupe kama wazungu licha ya kuwa maeneo yenye baridi zaidi. Hivyo hakuna haja ya kuchange rangi. Hata hivyo muda waliokaa ni mchache sana kwa mabadiliko kutokea.
 
Ingekuwa kweli, basi Inuit na Sami people wa High Arctic wangekuwa weupe kuwaliko wazungu.

Kuna theory mbili. Moja inasema kuwa inuits wanapata mionzi mingi sababu ya reflection ya mwanga kwenye barafu, hilo linafanya wawe wabrown kidogo.

Nyingine inasema kuwa chakula chao kutoka baharini huwapatia vitamini D kwa wingi, hivyo hawana haja ya kuwa na rangi nyeupe ili kuongeza utengenezaji wa vitamini D.
 
Mzee baba swala zima la evolution na natural selection linakupiga chenga sana. Mi naomba niishie hapo.
Hamna kitu kama natural selection ama evolution hapo. Ingekuwa kweli, then mzungu/ ngozi nyeupe hangekuwa hai Kwa kuwa ndio the weakest Kwa human race.

Nitarudia tena, masomo tunafunzwa shuleni ni ya kupumbaza wanafunzi wasiwe na independent thinking na wasiulize maswali zaidi ya Yale wamefunzwa. Je, ni kweli Bantu tulitokea Kongo na kuenea kote?? Kumbuka masomo haya tumeletewa na mzungu...je, Mimi kama mgeni kwako naweza kuaminishia historia ya kwako na utokako??
 
Mzee baba swala zima la evolution na natural selection linakupiga chenga sana. Mi naomba niishie hapo.
Hamna kitu kama natural selection ama evolution hapo. Ingekuwa kweli, then mzungu/ ngozi nyeupe hangekuwa hai Kwa kuwa ndio the weakest Kwa human race.

Nitarudia tena, masomo tunafunzwa shuleni ni ya kupumbaza wanafunzi wasiwe na independent thinking na wasiulize maswali zaidi ya Yale wamefunzwa. Je, ni kweli Bantu tulitokea Kongo na kuenea kote?? Kumbuka masomo haya tumeletewa na mzungu...je, Mimi kama mgeni kwako naweza kuaminishia historia ya kwako na utokako?
Yakutsk, Norilsk na Murmansk ni mojawapo ya the most northern cities Kwa High Arctic, barafu January to December na hao wazungu Bado weupe hata baada ya kula chakula Cha Inuits.
 
Hao ni wa slav, warussia waliohamia hivi majuzi. Hii kitu haitokei kwa miaka michache.
 
Jua gani waongelea?
Ulishafika India ukaona joto lilivyo kali?
Arabuni je?
 
Naskia ata waethiopia wali watesa waarabu Sana
 
Hakuna shule, mzungu au mwalimu hapa Afrika atakufunza haya! Ukweli umefichwa mtu mweusi aishi kwa ujinga!

View attachment 2057837

View attachment 2057839

View attachment 2057840

View attachment 2057841

View attachment 2057843
Ukiona umefichwa jambo nawewe ukafichika jiulize mara mbili uwezo wako wakufikiri ukoje.Kwasababu tungekua bora kusingekua na haja kusubiri binadamu mwingine aje aaribu historia yetu.

Lazima tukubali iko shida kati yetu ili tujue namna yakujirekebisha badala yakukalia tu historia isiyotusaidia jambo lolote.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kivipi. Na wakati ulimwengu ulikua umejaa watu weusi.
 
Kama huwezi kujibu kwa hoja kaa utulie ili wenye uwezo wakudadisi nakuja na majibu watusaidie kuliko kutoa majibu ya ovyo kama ulivyofanya.Ni mjinga peke yake ambaye hawezi kujiuliza maswali yanayohusu asili yake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…