Kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii, tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine?

Nipo kimya tu [emoji120][emoji120] nimekuelewa
 
Yahni wewe [emoji23][emoji23][emoji23] hueleweki [emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jua gani waongelea?
Ulishafika India ukaona joto lilivyo kali?
Arabuni je?
Shida inakuwa hamuelewi asili ya binadamu hapo ndio mnapokwama unajua binadamu wa asili tofauti na waafrika waliondoka africa mwaka gani , je unajua hao waarabu na wahindi weupe wametokea wapi. Je unajua maana ya natural selection , nini kazi ya melanin.

Shida ya watu mnapenda kubisha bila kuwa na habari and kwasababu umekuja kwa njia ya ubishi na sio kutaka ufafanuzi au kutafuta maarifa naomba nikuache kwenye giza la ujinga
 
Sifahamu, lakini siyo miaka 500 au 1000. Kulingana na evolution, binadamu alitokea miaka 200,000 iliyopita. Hasa inategemea nguvu ya evolution pressure.
Asante kwa kumtoa giza .. shida ya watu hawa wa vitabu vya dini kwasababu miungu yao ni ya miujiza wanategemea kitu kitokee katika sekunde. Wanahisi evolution ni fast process
 
Ntakujibu baadae nikitulia nikupe fact za natural selection katika level the physical mpaka molecular level
 
Toka uko, [emoji16][emoji16][emoji23][emoji39][emoji1787][emoji1787] hatuitaji helim yako yakipumbavu. Kuusu kubadirika kutokana na nyani nako unasemaje????
 
Toka uko, [emoji16][emoji16][emoji23][emoji39][emoji1787][emoji1787] hatuitaji helim yako yakipumbavu. Kuusu kubadirika kutokana na nyani nako unasemaje????
Nikitulia ntakueleze sisi hatujatokana na nyani ila tunashare mzee wetu mmoja yani kama sokwe mtu ni binanamu sio mjomba wala mama.

Ntakueleze nikitulia somo la evolution mnaliona kama vile inatokea kwenye mstari kwasababu ya picha ile ya shule.

Chukulia evolution kama mti na matawi tawi letu na tawi la manyani limetokea kwenye tawi kuu ila kila moja limeenda kivyake.

Iamini sayansi uokoke kwenye hii dunia
 
great thinker
 
Wazungu wanaongoza lwa uhuni duniani, kuna muda huwa nawaza, inawezekana hawa jamaa sio binadamu kamili kama sisi.
 

Sasa ndugu yangu watu weusi walio America wanabadilika vip kuwa na ustaarabu wa kizungu wakati asilimia kubwa ya watu wausi huishi na weusi wenzao!

Kwa mfano chukua mtoto ambaye ni Black halafu alelewe na mzungu uone Kama hata fanana tabia na wazungu!...you talk about black, what about Indian, Arab, swedish, Chinese, latin, European and so on....ambao wako America, je umewahi waona life style yao?

Ukienda kule bado hawatofautiani sana na origin place walizotokea. Bado utagundua wana vitabia flan vya asili walipo tokea na hata baadhi ya tamaduni watakua nazo tu
 
Wazungu wanaongoza lwa uhuni duniani, kuna muda huwa nawaza, inawezekana hawa jamaa sio binadamu kamili kama sisi.
Haswa viongozi wao. Huenda viongozi wao wanatumika na the greys (Reptilian Aliens) 😁😁🤔
 
Australia Kuna jua Kali Sana na watu bado Ni weupe Sana.

Hoja yako naipinga
 


Mimi nasema ni zwazwa na mpumbavu bali Baradhuli mkubwa yule anayeuliza asili yake huku akijidhalilisha kwa kufikiria laana juu ya asili yake huku akijilinganisha na UBORA wa watu wa asili zingine.

Hebu angalia hivi vipande halafu wewe mpuuzi unayemtetea huyo rafiki yako ujaribu ku judge.

I'm touched in this case as I'm a black African, I can't leave such neusence unrefuted.


Nimekaa nimewaza na kufikiri naona kama kuna kitu hakiko sawa kuhusu sisi waafrica.

kitu cha kwanza ni kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii,

Sijichukii kwa sababu mimi mweusi ila najiuliza tu kwanini waafrica pekee ndo weusi ? Alafu pia wakawa wachache kuliko weupe ? Kuna laana gani ilipita hapa ebu nambieni wadau.

asilimia karibu 90 ya kila tunachotumia waafrica kilianza kwanza kugunduliwa na mweupe), kwanini mweusi akawa nyuma sana ? Kuna laana gani hapa ?

why only africans we became very stupid ? Mbona sisi hatukuanza kuwatawala ila wao weupe wakaanza ?

Au ni kweli mungu alitulaani nini sisi weusi ? Au sisi weusi ni uzao wa shetani kama wanavoamini baadhi ya weupe ?
 
kwanini weusi wanadharauliwa, wanadunishwa,wanabaguliwa, kwani kuwa mweusi ni laana gani hapo
Mbona umekazania na suala la laana?? Au una majibu yako tayari??
Hakuna laana yoyote
Kwani hakuna laana inaweza kumfanya mtu kuwa mweupe? Au laana lazima awe mweusi? Be proud of your skin. Rangi nyeusi ni extraordinary
 
Nimecheka sana walai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti swala ajiulize kwanini naliwa na simba

hata mimi sikuwa namuelewa. Ameshikilia sana suala la laana

Ni kama tayari mtu mwenye majibu ila anahitaji ufafanuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…