Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nije chumbani..😜Nasoma comments
Eeh!!Nije chumbani..😜
Eeeh bwana eeh wasalaaam.
Hebu wajuba njooni tutoe sababu za msingi zinazofanya tunawakimbia akina dada wanatupenda wao wenyewe bila kutumia nguvu nyingi.
Mimi binafsi nimekutana na kesi nyingi sana huwa nakinahiwa kabisa na ile hamu ya kuwa na mdada alienipenda bila mimi either kumtongoza or ile inaitwa sukuma mleviii kitu imo.
Katika kumbukumbu za hivi karibuni kuna mdada alikua akinipenda mno kutoka kanda ya ziwa tokea tulipokutana 823 kj msange tabora mujibu wa sheria.
Hivyo hivi karibuni kwakua still tulikua na mawasiliano alikuja kufunguka yeye mwenyewe,nilimkubalia ila sikua na ileee hamu haswaaa kama vile nikimtongoza mwenyewe mdada.
Basi bwana penzi lile halikufika hata week mimi nilimpotezea yule mdada wa watu mpaka leo nikikumbuka namuonea huruma,alikua akinipenda sana halafu mimi kwakua nilikua simkubali nilikua namchukulia poa,mpaka nilipokuja kutowasiliana nae tena mpaka leo hii.
Hebu tutoeni sababu za msingi ni kwanini inatokeaga hivii,mimi binafsi sipendi tu mdada ajirahisishe sana ndo mana huwa napoteza appetites.
Karibuni uzi uko tayari
NB: Mtanisamehe sipo vizuri katika ku narrate visa/habarii kikubwa content imeonekana inahitaji nini.
Usikimbie lakini..😉Eeh!!
Nisikimbie Nini? Na huko kuja chumbani uje vipi Yani bado sijakusoma freshUsikimbie lakini..😉
[emoji23][emoji23] hata hao wanatunyanyapaa tukifika akizingua tunakimbia
Anyway Mimi nahisi kwangu ni kama ugonjwa unahitaji tiba sinaga hamu na mdada anaejirahisisha Sana!
He he! Umeanza kelele kabla sijaja..😅Nisikimbie Nini? Na huko kuja chumbani uje vipi Yani bado sijakusoma fresh
Embu lala..una wenge la usingiziHe he! Umeanza kelele kabla sijaja..😅
Chumbani chumbani mama we unafikiri chumba kipi..
Tutalala wote..Embu lala..una wenge la usingizi
Eeeh bwana eeh wasalaaam.
Hebu wajuba njooni tutoe sababu za msingi zinazofanya tunawakimbia akina dada wanatupenda wao wenyewe bila kutumia nguvu nyingi.
Mimi binafsi nimekutana na kesi nyingi sana huwa nakinahiwa kabisa na ile hamu ya kuwa na mdada alienipenda bila mimi either kumtongoza or ile inaitwa sukuma mleviii kitu imo.
Katika kumbukumbu za hivi karibuni kuna mdada alikua akinipenda mno kutoka kanda ya ziwa tokea tulipokutana 823 kj msange tabora mujibu wa sheria.
Hivyo hivi karibuni kwakua still tulikua na mawasiliano alikuja kufunguka yeye mwenyewe,nilimkubalia ila sikua na ileee hamu haswaaa kama vile nikimtongoza mwenyewe mdada.
Basi bwana penzi lile halikufika hata week mimi nilimpotezea yule mdada wa watu mpaka leo nikikumbuka namuonea huruma,alikua akinipenda sana halafu mimi kwakua nilikua simkubali nilikua namchukulia poa,mpaka nilipokuja kutowasiliana nae tena mpaka leo hii.
Hebu tutoeni sababu za msingi ni kwanini inatokeaga hivii,mimi binafsi sipendi tu mdada ajirahisishe sana ndo mana huwa napoteza appetites.
Karibuni uzi uko tayari
NB: Mtanisamehe sipo vizuri katika ku narrate visa/habarii kikubwa content imeonekana inahitaji nini.
Iliwahi kunitokea hata mimi. Kuna mdada alinipenda ile kinoma sema mimi sikuwa hata na ile chembe ya kumpenda yeye na nilimueleza ninavyojisikia kwake ila alilazimisha. Alitia huruma sana ikabidi nimkubalie kichwa upande nimsogezee siku. Ile tuna week ya pili tu akaanza kung'ang'ana kutaka nikajitambulishe kwao na yeye kwetu, ukicheki sikuwa tayari kuoa. Sikufikiria mara mbili kumwambia 'kwanzia sasa tumeachana'.
[emoji23][emoji23][emoji23] dah kitambo kidogo Mkuu since 2016 kwasasa sijajua!Hivi ndege joni na afande mudo na michael makaranga bado wapo? Nimekumbuka mbali2 kuchota maji kwnye lile karo na kufagia barabara ya main gate had hosptali kwnye lile sanamu