Kwanini sisi wanaume huwa tunawaacha wanawake wanaotupenda kwa dhati bila kutumia nguvu nyingi?

Kwanini sisi wanaume huwa tunawaacha wanawake wanaotupenda kwa dhati bila kutumia nguvu nyingi?

Maadili ya zamani hio kitu ndo ilikuwepo,sasa hivi unaweza katiza zako mtoto wa kiume na ishu zako unashangaa mdada anakukonyeza loh [emoji23][emoji23]
😂😂, mkuu usikubali akukonyeze peke yake, na wewe mkonyeze. In short mnakonyezana, hatulali na deni chief
 
Binafsi huwa namuheshimu sana mwanamke anayekuwa muwazi kusema anakupenda ,
huwa namchukulia kwa kiwango cha juu cha Hadhi na ujasiri aloonyesha . huwa pana mawili kwa upande Wangu.

nikitokea kumpenda na Mimi labda basi tutaenda sawa na ikitokea sijampenda huwa pia siwezi muumiza pia ,maana mambo huwenda yakageuka Leo kwake kesho kwangu

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
MTU swaaafiii sana wewe
 
[emoji23][emoji23], mkuu usikubali akukonyeze peke yake, na wewe mkonyeze. In short mnakonyezana, hatulali na deni chief
[emoji23][emoji23] zege hailaliiii ama nin Mkuu..!!!
 
Hiyo in kwa pande mbili hata wewe jaribu kumfatilia demu kwa moto huwezi kumpata atampenda yule ambaye hajali hata simu hapigi sana. We jali mishe zako utaona unavopata mademu bila hata kupgwa mizinga wala kulia kulia usikubali kumfia manzi atakuja mwenyew kama IPO IPO tu
 
Mwanamke akikupenda ni raha sana.Nimebahatika kuishi na Bibi na babu yangu hadi Sasa. Yaaan the way huyu bibi yangu anvyomjali huyu old timer(Babu) kuanzia kwenye kula, afya na hata mahusiano na watoto wao inanifanya nimeheshimu sana mwanamke anaenipenda cuz ni rahisi sana hata kutengeza nae Familia iliyo bora. Nimekula nikiliona hili na Nina experience hichi kitu kila Siku.Nikimpata mwanamke anaenipenda kwa dhat kabisa aisee hata kama Ana robo ya vigezo ninavyovihitaji nitakuwa nae tu..Maisha ya utuuzima alafu uwe na mtu asiyekupenda ni changamoto sana..Ni moja Kati ya sababu ya wanaume wengi kufa mapema simply wanakuwa na wenza ambao hawajali/Hawana mapenzi ya dhati.
images%20(1).jpg
 
Dah mi mwenyewe Kuna dem ananipenda balaa ila nikiona tu anaanza kutyp huko whtspp nazima data... Sijawahi kuanza kumsalimia hadi aanze yeye... Yupo serious sana ila mm nampuuza najitahid nimpende lakn moyo bad unazingua naona kama namuigizia tu naamua kuwa bandidu
 
Hiii haliii tuitibu na dawa ganii,mana pale unapopendwa wewe hupendi,na usipopendwa wewe ndo unapenda!!

Why!!!
 
Raha ya mapenzi mpendane sio ile one sided love huwa ina mwisho mbaya!!
Mwanamke akikupenda ni raha sana.Nimebahatika kuishi na Bibi na babu yangu hadi Sasa. Yaaan the way huyu bibi yangu anvyomjali huyu old timer(Babu) kuanzia kwenye kula, afya na hata mahusiano na watoto wao inanifanya nimeheshimu sana mwanamke anaenipenda cuz ni rahisi sana hata kutengeza nae Familia iliyo bora. Nimekula nikiliona hili na Nina experience hichi kitu kila Siku.Nikimpata mwanamke anaenipenda kwa dhat kabisa aisee hata kama Ana robo ya vigezo ninavyovihitaji nitakuwa nae tu..Maisha ya utuuzima alafu uwe na mtu asiyekupenda ni changamoto sana..Ni moja Kati ya sababu ya wanaume wengi kufa mapema simply wanakuwa na wenza ambao hwajali/Hawa a mapenzi ya dhati. View attachment 1499763
 
Hiyo in kwa pande mbili hata wewe jaribu kumfatilia demu kwa moto huwezi kumpata atampenda yule ambaye hajali hata simu hapigi sana. We jali mishe zako utaona unavopata mademu bila hata kupgwa mizinga wala kulia kulia usikubali kumfia manzi atakuja mwenyew kama IPO IPO tu
Tuishi humo boss
 
Hakuna mwanamke anaempenda mwanaume kwa dhati,ukiona mwanamke anakwambia anakupenda jua
1.kwako Kuna maslahi Fulani ndiyo anayapenda sio wewe.
2.ameshapiga tochi mbele kwamba mwishowe Kuna kitu atakuja faidika kwako,kinyume na hapo,hakuna mwanamke anaempenda mwanamme.
Hutaki unaacha au chunguza kwa makini.
Nina kila sababu ya kuamini hiki ulichokiandika mkuu.
 
Hakuna mwanamke anaempenda mwanaume kwa dhati,ukiona mwanamke anakwambia anakupenda jua
1.kwako Kuna maslahi Fulani ndiyo anayapenda sio wewe.
2.ameshapiga tochi mbele kwamba mwishowe Kuna kitu atakuja faidika kwako,kinyume na hapo,hakuna mwanamke anaempenda mwanamme.
Hutaki unaacha au chunguza kwa makini.
Sio kweli
 
Sio kweli
Wewe unampenda man wako? Au kwa kuwa Ana visenti kidogo?
Kama man wako ni business man au mwajiriwa siku akiwa Hana kazi utaendelea kumpenda?
Mtaishi humo ndani?
Au tufanye kapata tatizo dyudyu haisimami utavumilia wewe,hutotafuta jamaa na kuvunja ndoa?
Sema ukweli hapa
 
Back
Top Bottom