Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana Mimi binafsi sijui ata nataka nini [emoji23][emoji23][emoji23] anyway huenda pia n mipango ya mungu kuwa hivyo!Hivi kumpenda mtu ni kujirahisisha?
Vipi yule unayemtongoza akawa maharage ya Mbeya?
Watu mna mawazo mabaya sana
Kwahiyo ukitongoza wewe unaona hajajirahisisha hata Kama tabia zake ni za umalaya.
[emoji23][emoji23] dhambiii za kujitakia hizoMimi nilipata mdada mmoja, tukisafiri kwenye daladala kumbe tuko mtaa mmoja..........mbili tatu, akakubali kuingia kwangu kunywa kahawa , punde si punde akala mti.
Tukapatana tena kwenye safari yetu, nikamrai akaingia ndani, kichapo tena, Mpaka mara tatu.
Mara ya nne , akatia zii...akaniuliza, yaani wewe kila ukiniona waniona mtu wa kuchapa vitu tu?, hebu leo tukae tuongeee....sikua na la kuongea , nikam sindikiza akaenda zake, baada ya hapo nilikua nikimuona namhepa!!!!
Facts mkuuSifikiri kama ni unyanyasaji. Kumpenda mtu sio kosa ila shida ni pale huyo unaempenda anakufeel kama wewe unavyo mfeel? Kingine ukiangalia wengine wanafanya hivyo ili kuonyeshana mtaani au anamalengo mengine ambayo sio rahisi kuyajua kwa haraka.
Ufala na ushamba tu unawasumbua
Kwani ukitongozwa lazima ukubali, Kama humtaki mtu si unakataa?
Hivi mfano mwanamke akiwakubalia wote wanaowatongoza maisha yangekuwaje?
Mbuzi kafia kwa muuza supu shekhe!Ulimla papuchi? King Mufasa
🙏Pole Mkuu [emoji23]
Wao si magwiji wa kutulazimisha tutoe matumizi na kutupelekesha mpaka mahakamani haya watushtaki na hilo la sisi kuwapiga chini pindi wakitupenda..Ila Mkuu tunachokifanya sio poa ni unyanyasaji wa kijinsia!!
Kupenda na jambo la asili kabla ya maslahi,ila vichwa hufanyiwa overhaul kabla ya kuanza kutumikaHakuna mwanamke anaempenda mwanaume kwa dhati,ukiona mwanamke anakwambia anakupenda jua
1.kwako Kuna maslahi Fulani ndiyo anayapenda sio wewe.
2.ameshapiga tochi mbele kwamba mwishowe Kuna kitu atakuja faidika kwako,kinyume na hapo,hakuna mwanamke anaempenda mwanamme.
Hutaki unaacha au chunguza kwa makini.
Ulichoongea ndio sababu kuu ya kutokufanya hii biashara kichaa. Mwanamke unatakiwa kupendwa, kupendwa, kupendwa.Eeeh bwana eeh wasalaaam.
Hebu wajuba njooni tutoe sababu za msingi zinazofanya tunawakimbia akina dada wanatupenda wao wenyewe bila kutumia nguvu nyingi.
Mimi binafsi nimekutana na kesi nyingi sana huwa nakinahiwa kabisa na ile hamu ya kuwa na mdada alienipenda bila mimi either kumtongoza or ile inaitwa sukuma mleviii kitu imo.
Katika kumbukumbu za hivi karibuni kuna mdada alikua akinipenda mno kutoka kanda ya ziwa tokea tulipokutana 823 kj msange tabora mujibu wa sheria.
Hivyo hivi karibuni kwakua still tulikua na mawasiliano alikuja kufunguka yeye mwenyewe,nilimkubalia ila sikua na ileee hamu haswaaa kama vile nikimtongoza mwenyewe mdada.
Basi bwana penzi lile halikufika hata week mimi nilimpotezea yule mdada wa watu mpaka leo nikikumbuka namuonea huruma,alikua akinipenda sana halafu mimi kwakua nilikua simkubali nilikua namchukulia poa,mpaka nilipokuja kutowasiliana nae tena mpaka leo hii.
Hebu tutoeni sababu za msingi ni kwanini inatokeaga hivii,mimi binafsi sipendi tu mdada ajirahisishe sana ndo mana huwa napoteza appetites.
Karibuni uzi uko tayari
NB: Mtanisamehe sipo vizuri katika ku narrate visa/habarii kikubwa content imeonekana inahitaji nini.
Ulichoongea ndio sababu kuu ya kutokufanya hii biashara kichaa. Mwanamke unatakiwa kupendwa, kupendwa, kupendwa.
Hakuna mwanamke anaempenda mwanaume kwa dhati,ukiona mwanamke anakwambia anakupenda jua
1.kwako Kuna maslahi Fulani ndiyo anayapenda sio wewe.
2.ameshapiga tochi mbele kwamba mwishowe Kuna kitu atakuja faidika kwako,kinyume na hapo,hakuna mwanamke anaempenda mwanamme.
Hutaki unaacha au chunguza kwa makini.
Eeeh bwana eeh wasalaaam.