Kwanini sisi wanaume huwa tunawaacha wanawake wanaotupenda kwa dhati bila kutumia nguvu nyingi?

Wanawake wakipenda wanapenda mazima ila wakishaingia wakaoata wanachokitaka wanaanza mizinguo japo sio wote mi aliyenipenda nilimfinya alafu nikampotezea, sitakagi ujinga
 

Ufala na ushamba tu unawasumbua

Kwani ukitongozwa lazima ukubali, Kama humtaki mtu si unakataa?

Hivi mfano mwanamke akiwakubalia wote wanaowatongoza maisha yangekuwaje?
 
Mimi nilipata mdada mmoja, tukisafiri kwenye daladala kumbe tuko mtaa mmoja..........mbili tatu, akakubali kuingia kwangu kunywa kahawa , punde si punde akala mti.
Tukapatana tena kwenye safari yetu, nikamrai akaingia ndani, kichapo tena, Mpaka mara tatu.

Mara ya nne , akatia zii...akaniuliza, yaani wewe kila ukiniona waniona mtu wa kuchapa vitu tu?, hebu leo tukae tuongeee....sikua na la kuongea , nikam sindikiza akaenda zake, baada ya hapo nilikua nikimuona namhepa!!!!
 
[emoji23][emoji23] hata hao wanatunyanyapaa tukifika akizingua tunakimbia

Anyway Mimi nahisi kwangu ni kama ugonjwa unahitaji tiba sinaga hamu na mdada anaejirahisisha Sana!

Hivi kumpenda mtu ni kujirahisisha?

Vipi yule unayemtongoza akawa maharage ya Mbeya?

Watu mna mawazo mabaya sana

Kwahiyo ukitongoza wewe unaona hajajirahisisha hata Kama tabia zake ni za umalaya.
 
Nisikimbie Nini? Na huko kuja chumbani uje vipi Yani bado sijakusoma fresh
He he! Umeanza kelele kabla sijaja..😅
Chumbani chumbani mama we unafikiri chumba kipi..
 
Hivi ndege joni na afande mudo na michael makaranga bado wapo? Nimekumbuka mbali2 kuchota maji kwnye lile karo na kufagia barabara ya main gate had hosptali kwnye lile sanamu
 

Ulimla papuchi? King Mufasa
 
Hivi ndege joni na afande mudo na michael makaranga bado wapo? Nimekumbuka mbali2 kuchota maji kwnye lile karo na kufagia barabara ya main gate had hosptali kwnye lile sanamu
[emoji23][emoji23][emoji23] dah kitambo kidogo Mkuu since 2016 kwasasa sijajua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…