Kwanini sisi wanaume huwa tunawaacha wanawake wanaotupenda kwa dhati bila kutumia nguvu nyingi?

Hivi kumpenda mtu ni kujirahisisha?

Vipi yule unayemtongoza akawa maharage ya Mbeya?

Watu mna mawazo mabaya sana

Kwahiyo ukitongoza wewe unaona hajajirahisisha hata Kama tabia zake ni za umalaya.
Bwana Mimi binafsi sijui ata nataka nini [emoji23][emoji23][emoji23] anyway huenda pia n mipango ya mungu kuwa hivyo!
 
[emoji23][emoji23] dhambiii za kujitakia hizo
 
Sifikiri kama ni unyanyasaji. Kumpenda mtu sio kosa ila shida ni pale huyo unaempenda anakufeel kama wewe unavyo mfeel? Kingine ukiangalia wengine wanafanya hivyo ili kuonyeshana mtaani au anamalengo mengine ambayo sio rahisi kuyajua kwa haraka.
Facts mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa wanaume tupo wachache sana tunaokataaa directly tukitongozwa na madada..

Tena nahisi hawapo
Ufala na ushamba tu unawasumbua

Kwani ukitongozwa lazima ukubali, Kama humtaki mtu si unakataa?

Hivi mfano mwanamke akiwakubalia wote wanaowatongoza maisha yangekuwaje?
 
Wao si magwiji wa kutulazimisha tutoe matumizi na kutupelekesha mpaka mahakamani haya watushtaki na hilo la sisi kuwapiga chini pindi wakitupenda..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mwendo wa kukomoana tu mpaka kiama kisimame!
 
Kupenda na jambo la asili kabla ya maslahi,ila vichwa hufanyiwa overhaul kabla ya kuanza kutumika
Ss badala ya kuweka oil tena vinajazwa mataputapu
Ndo hao tunakumbana nao
 
Ulichoongea ndio sababu kuu ya kutokufanya hii biashara kichaa. Mwanamke unatakiwa kupendwa, kupendwa, kupendwa.
 
Maadili ya zamani hio kitu ndo ilikuwepo,sasa hivi unaweza katiza zako mtoto wa kiume na ishu zako unashangaa mdada anakukonyeza loh [emoji23][emoji23]
Ulichoongea ndio sababu kuu ya kutokufanya hii biashara kichaa. Mwanamke unatakiwa kupendwa, kupendwa, kupendwa.
 

Wewe ni mwanaume ambaye hakika unawajua wanawake vilivyo. Hongera kwa kuutambua ukweli wa mambo kuhusu hawa wanawake
 

Sababu ni kwamba “ Good girls ain’t fun” hivyo tu.
 
Binafsi huwa namuheshimu sana mwanamke anayekuwa muwazi kusema anakupenda ,
huwa namchukulia kwa kiwango cha juu cha Hadhi na ujasiri aloonyesha . huwa pana mawili kwa upande Wangu.

nikitokea kumpenda na Mimi labda basi tutaenda sawa na ikitokea sijampenda huwa pia siwezi muumiza pia ,maana mambo huwenda yakageuka Leo kwake kesho kwangu

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…