Kwanini sisi wanaume huwa tunawaacha wanawake wanaotupenda kwa dhati bila kutumia nguvu nyingi?

Umebadili topic, wewe siku mkeo akapata maradhi ambayo hayamruhusu kufanya mapenzi utaendelea kuishi naye bila kutafuta mwanamke mwingine?
 
Mwanaume jutafutie mwanamke anayekupenda....

Hawa wengine unaweza jitafutie pembeni bila yeye kujua.

Aya ya pili katype Rowin . Naomba mumuulize maswali.
Umeshindikana[emoji1781][emoji1781][emoji1781]
 
Maadili ya zamani hio kitu ndo ilikuwepo,sasa hivi unaweza katiza zako mtoto wa kiume na ishu zako unashangaa mdada anakukonyeza loh [emoji23][emoji23]
Juzi kuna manzi kanletea shobo kumbe nikaja gundua kapenda usmart wangu na ndinga. Nilienda nae lunch nikamchukua maelezo kisha nikamwambia ntamtafuta sikuhangaika nae hata.
 
Hukuwa tayar kuoa ila ulijawa na tamaa, nahutakuja kuishi kwamuda mrefu na mwanamke, pepo lipo nyuma yako, kaombewe
 
Juzi kuna manzi kanletea shobo kumbe nikaja gundua kapenda usmart wangu na ndinga. Nilienda nae lunch nikamchukua maelezo kisha nikamwambia ntamtafuta sikuhangaika nae hata.
Hahah ukatili wa kijinsia huo Mkuu,sema wanawake wanapenda sana wanaume wenye vistatus fulan hiviii
 
Malipo hapa hapa duniani mkuu,kule mbinguni tunaenda kuimba mapambio kwa wakristu au peponi na motoni kwa waislam.Hivo jiandae yanaweza kukuta.

Ila kupendwa na mwanamke hujampenda ni tatizo ila tatizo linakuwa kubwa wewe ukapenda sehemu usiyopendwa.
 
Mapenzi hayajawahi kueleweka
 
Hahaha
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…