Kwanini sisi wanaume wa 1980s tunapendwa sana na mademu wakali kila sehemu?

Habarini nyote,

Nimefanya kautafiti ka rasha rasha ni hivi mademu wakali wengi wanatupenda sisi wanaume wazaliwa wa 1980s kuliko hayo makundi mengine.

Na kila mikoa ninayozunguka kibiashara kote vybe ni hilo hilo.

Tusaidiane majibu kwa nini iko hivyo?

Ni hayo tu 🙏🙏🙏
Miaka 10 nyuma walikuwa wanapendwa wa 1970,ambao sasa hv wana miaka 50,wameshachoka na magonjwa wameamua kutulizana na familia,miaka 7 to 10 ijayo wataanza kupendwa wa miaka 1990
 
Mwanaume aliyezaliwa miaka ya 80 naonaga ni mzee
Hujawahi kusikia msemo wa "ng'ombe hazeeki maini" nafikiri wanabase hapo!! Off course kwa umri huo mambo mengi yalishatulia, miradi inaenda vizuri, na bado nguvu wanazo, etc, kwa mazingira hayo inabidi wawe makini otherwise totos wamenusa huko fedha!! Tena hawa totos wa karne ya 21 ni balaa!! hawaogopi mvi wala nini!!
 
Mkuu,natania...uzee haupo miaka ya 80's
 
Nyie ni wazee ndio maana wanawapenda au mnajiona bdo vijana, na ukweli ni kwamba hawana mapnz ya dhati na nyie bali wanatumia udhaifu wenu wa kifikra kuwalaghai...[emoji3]
Kwahiyo Diamond wa 1989 ni mzee anayeimba Bongofleva?
Yaani ukiulizwa swali kuwa wataje wazee wa nchi hii wawili,utaanza labda na Mzee Wasira halafu wa pili ni Diamond Platinumz?
Kwakweli inabidi somo la utambuzi litiliwe mkazo.
 
Endelea kujiona kijana wakat umri umeshasonga mkuu
 
Kwahiyo Diamond wa 1989 ni mzee anayeimba Bongofleva?
Yaani ukiulizwa swali kuwa wataje wazee wa nchi hii wawili,utaanza labda na Mzee Wasira halafu wa pili ni Diamond Platinumz?
Kwakweli inabidi somo la utambuzi litiliwe mkazo.
Mkuu umeandika kwa msisitizo hahaha
 
Back
Top Bottom