Kwanini sisi wanaume wa 1980s tunapendwa sana na mademu wakali kila sehemu?

KIla Generation ina Wakati wake. Nyie wa 80 sasa Mnazeeka.
 
Sisi wa 90s tupo pale tunaangalia ugomvi huu wa 80s na 2000s, atakayeshinda aje abishane na sisi.
 
Wazaliwa wa 1980s wana combination nzuri ya pesa na nguvu. Sio zaidi ya hivyo. Hawa wa 1990s na 2000s wana nguvu lakini kimaisha bado wanajitafuta. Hawa wa 1970s kurudi nyuma, financial base nzuri ila ndo hivyo tena, nguvu hamna. Miaka 10 ijayo, graph itabadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…