Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Unene uliokithiri si mzuri hasa kiafya,lakini kusema wanawake wanene ni wachafu si kweli uchafu ni hulka ya mtu hiyo haina maumbile na wanawake wote wanene kwa wembamba,warefu na wafupi ni lazima wajitahidi kwa usafi kutokana na maumbile yao.
Mtoa maada naomba nkupe pole na kukusahihisha si wanawake wote wanene hawaolewi na kama u mnene sana jitahid upungue kwa usalama wa afya yako si kwaajili ya ndoa,kama una sifa za kuolewa utaolewa tu regardless umbo lako...
 
kuna mmoja huyo nilitaka nile kabaang loh nilighairi papo hapo
 
mtoa hoja hiyo ni mindset yako tu there is no correlation kati ya body size na kuolewa kama hujipendi maumbile yako then una mcriticise muumba wako , suala la kuolewa inabidi Mungu ashirikishwe pia mkumbushe kupitia sala zako , everything happen for a reason mamii ,just remember every woman has got her own husband you gat me
 
wanawake mnajichelewesha wenyewe kwa kusubiria kuchumbiwa na kutongoza kwani nyie nani aliwaambia kuwa hamruhusiwi kueleza hisia zenu kwa yule unayehisi unampenda? Hofu yenu inakuwa wapi hasa? Haki sawa kwa kila mmoja wetu kueleza hisia zake, kuweni huru nanyi mtawekwa huru na ile kweli ya mioyoni mwenu.
 
Vipi wanaoolewa wakiwa wembamba kisha wakanenepa na kuongezeka makalio huachika kwenye ndoa?
 
hapa mkuu Malafyale tupo pamoja sana. uchafu.ni hulka ya mtu.bana

kumbe ndo maana umenisahau upo busy huku kwa watu wanaojitangaza wanakabang kubwa khaaa:A S 576::A S 576:
 
Last edited by a moderator:

:heh::heh:i love you and I want to marry you please accept my propozo
 

Mkuu,inawezekana ukawa na mchango mzuri sana wa kumsaidia mtoa mada,ila sasaa,lugha uliyotumia haipo compartible na ya mtoa mada,unafikiri utakuwa umemsaidia kweli let say haelewi kidhungu
 
tatizo uvungu huwa unatema
sana yaani hata kula kabaang tabu tupu na kuachia ushuzi mara kwa mara
inabore nashauri wawe wanasafisha mvungu mara kwa mara

duuuu!,makavu livee,wamekusikia mkuu
 
Sababu nyingine ni sijui niite uvivu au uzembe? Mwanamke mnene akikaa mahali kuamka inakuwa shughuli, hata kama hitaji ni lake. Kitu atakachofanya ni kuanza kutuma wengine, watoto au mme. Ni wanaume wachahche wanoweza kuvumilia haraha ya kutumwatumwa. Ukioa kakiportable unapunguza miugomvi isiyohitajika ya kutumwa ukakataa halafu mtu anafura na baadae unanyimwa 'kakitu'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…