Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Kila mtu na wake,hata hao mabonge mbona tunaona wanaolewa?
 

Mbona PM hujibu jamani, unajua unaupeleka mbio moyo nitakufa bure mtoto wa mwanamke mwenzio
 

I see watu8 umeanza lini kupenda mipododo? Watu wa Pwani mnapenda vimodel hii mizigo mikubwa mikubwa mtuachie sie wa Mwakareli jamani huu utakuwa ulafi sasa.
 
Last edited by a moderator:
Naona wakati mwalimu snowhite anafundisha somo la lugha ya picha ulikuwa umeenda kufanya usafi class area...

Kuna kiranja mmona mnoko alinifanyia ntimanyongo kwen kuhesabu namba ndo nikakosa kipindi....kunba picha hapa siioni?
 
huu ndio ukweli unao uma saaaaaaaana
 
Tatizo utaona na msio tumia hii makitu mnaanzisha ligi mpaka tunakosa wenyewe tunao hitaji.

hahahah Fidel80 bana......kumbe umegundua ushindani mkali eeh
 
Last edited by a moderator:

Mi sijaoa natafuta mdada Mnene kama wewe,maana wanawake wa kiafirika wana asili ya unene,mwanamke nyama,english figure wagonjwa hao. mama pls nipe contact zako
 
Hahaha!
Sasa kama vijana hawatufati tufanyaje?
Tunaamua tu kujilipua na mibaba.

Aha kumbe vijana hawafuati? umedanganya? ila vijana wanawafuata sana sema mnataka wenye njuru za kutosha maana kijana hana cha kukupatia eti.
 
huwa mna jiona bora kuliko wengine dharau nyiiiingi...kisa mkipita kila mtu ana geuka kutizama kalio
 

Acha uongo wanaume wengi tunapenda wanawake wa aina kama yako, na ndiyo maana mwanamke wa aina hiyo akipita mtaani wanaume mate huwatoka.Mimi binafisi huo ndio ugonjwa wangu sipendi vimbaumbau hata kidogo.Maana nikiona kimbaumbau sipati hata stimu ya ku do.
 
Hahahah mkuu ushawahi kuhudhuria kwenye mikusanyiko ya Pwani "Taarabu"?...sasa ile miTurbo ndio ninayoiongelea hapa...

I see watu8 umeanza lini kupenda mipododo? Watu wa Pwani mnapenda vimodel hii mizigo mikubwa mikubwa mtuachie sie wa Mwakareli jamani huu utakuwa ulafi sasa.
 
Last edited by a moderator:
Wengi niwazembe katika kazi za nyumbani,weight yao ni kubwa so wakat wa kunonihino wanachosha balaa!SINA UHAKIKA LAKINI KWANI MI NAKAKIMBAUMBAU
 

Hilo nalo neno mkuu.
 
Hapa kuna "kabati" linatafuta mnunuzi...
Speaking of "kabati" namaanisha hivi...



Kuna kiranja mmona mnoko alinifanyia ntimanyongo kwen kuhesabu namba ndo nikakosa kipindi....kunba picha hapa siioni?
 
Hapa kuna "kabati" linatafuta mnunuzi...
Speaking of "kabati" namaanisha hivi...


ewaa sasa huyu ni MNENE KUPINDUKIA.....je dada yake na Asuta alikuwa anamaanisha hawa? sidhani....

Hebu wekamo na wa size yetu watu8
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…