Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Naomba niende contrary na hawa wachangiaji mimi mwanamke ambaye yupo slim akipita karibu yangu najisikia kutapika na hamna kitu kinachonihangaisha kama kupata mke mwenye umbo kama Amber au kim wa kanye japo ni kweli wengi wao ni vimada coz hata mtaani kwetu nayaona haya lakini ukweli ni kwamba unaweza ukapiga goli hadi tano na bado ukatamani kuendelea kudo:glasses-nerdy:
 
nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)miili yetu imepitwa na wakati,
(b)labda wanadhani tutashindwa mechi
.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)tuanze kuwatongoza wanaume.

Nalileta mezani tulijadili
.
halafu bidada ningejua namba yako ya sim ningependa nikutafute manake unaweza kunifaa coz unayoyazungumza ndo ugonjwa wangu na nahisi ndo nawe umejaaliwa
 
too much of something is dangerous! mwanamke anapokuwa mzuri sana mara nyingi mwanaume anamuogopa ndio maana wanaishia kuwa vimada na hata wanaowaweka vimada uwa ni watu wenye uwezo kweli. mara nyingi wanaumwe uwa waoga kwa wanawake wazuri sana. wasi wasi wa kuibiwa. nina rafiki yangu yuko hv hv ukimuona utadhani katupwa kutoka mbinungu hakuzaliwa. yaani mbantu wa ukweli kama yale magazeti ya sani wale warembo wanavyochorwa. mimi mwenyewe mwanamke but i solute her. ila ndio hv hana mume mpaka analalamika kila anaemtongoza ni mume wa mtu na amechoka na waume za watu anataka awe na masha yake na yy. ila apate wapi wanaume wa kibongo waoga wa kuoa mwanamke mrembo zaidi.
 
Nipe namab yake nimtokee tuoonge mpango muafaka!!

hahahahhahahahah,jamani, mi natafuta wa aina hiyo,ndo namtaka jamani,wala sitanii
 
mie maza wangu kibonge na namtaniaga sana....ila it doesnt hid ethe fact kwamba its unhealthy.

Basi ukiwa unaongea kama ni kunuka, shape mbaya n.k na mfano uwe unamtolea mama yako ili tujue kwamba you mean what you talk na sio story tu.
 
bora vipo rtable kupunguza ligi, mana mipododo pasua kichwa sio siri...
 
nilishawahi kumsikia mkaka mmoja akisema "eeh mwanamke mnene hivyo nikimuoa nitamlisha nini?" Namwingine akisema "Mwanamke mzuri hivyo nimuoe? siwezi huyu ni mwanamke wa show tuu aisee"
 
Basi ukiwa unaongea kama ni kunuka, shape mbaya n.k na mfano uwe unamtolea mama yako ili tujue kwamba you mean what you talk na sio story tu.

eh ndio ana shape mbaya na ananuka.
 
kaka, hata wanene wengine unaweza shangaa ukadumbukia hivi hivi. Sio wembawemba wote wanakina meen.
 
Back
Top Bottom