Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu bidada ningejua namba yako ya sim ningependa nikutafute manake unaweza kunifaa coz unayoyazungumza ndo ugonjwa wangu na nahisi ndo nawe umejaaliwanimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)miili yetu imepitwa na wakati,
(b)labda wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)tuanze kuwatongoza wanaume.
Nalileta mezani tulijadili.
wanaume tunataka tipate familia yenye afya njema sasa wee mama kibonge ...a health hazzard kweli hao watoto watakuwa wenye afya jamani!?
Nyie wote mnaoponda . . . mama zenu sio wanene??
Miili minene inavutia tu kuangalia akiwa kavaa nguo.akivua inabore sana.
too much of something is dangerous! mwanamke anapokuwa mzuri sana mara nyingi mwanaume anamuogopa ndio maana wanaishia kuwa vimada na hata wanaowaweka vimada uwa ni watu wenye uwezo kweli. mara nyingi wanaumwe uwa waoga kwa wanawake wazuri sana. wasi wasi wa kuibiwa. nina rafiki yangu yuko hv hv ukimuona utadhani katupwa kutoka mbinungu hakuzaliwa. yaani mbantu wa ukweli kama yale magazeti ya sani wale warembo wanavyochorwa. mimi mwenyewe mwanamke but i solute her. ila ndio hv hana mume mpaka analalamika kila anaemtongoza ni mume wa mtu na amechoka na waume za watu anataka awe na masha yake na yy. ila apate wapi wanaume wa kibongo waoga wa kuoa mwanamke mrembo zaidi.
Hahaha!
Sasa kama vijana hawatufati tufanyaje?
Tunaamua tu kujilipua na mibaba.
mie maza wangu kibonge na namtaniaga sana....ila it doesnt hid ethe fact kwamba its unhealthy.
Basi ukiwa unaongea kama ni kunuka, shape mbaya n.k na mfano uwe unamtolea mama yako ili tujue kwamba you mean what you talk na sio story tu.
heeeee!!!!!!! Huko ni kumtusi mama yake sasa!!!!
Basi ukiwa unaongea kama ni kunuka, shape mbaya n.k na mfano uwe unamtolea mama yako ili tujue kwamba you mean what you talk na sio story tu.
eh ndio ana shape mbaya na ananuka.