KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Moja ya sababu ni maumbo yao. Wengi ni wafupi kiasi huwezi kujua nani ni Baba na nani mtoto. "Baba zetu na Mama zetu ni thithi thithi".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mussa msangi alikuwa anaupiga mwingi sana labda ulikuwa hujazaliwa!Toka nizaliwe sijawahi kuona au kusikia mcheza mpira mkubwa Tanzania ligi kuu ni mpare kwanini?
Naomba serikali ifanye utafiti.
Hamna mpare jinga hivToka nizaliwe sijawahi kuona au kusikia mcheza mpira mkubwa Tanzania ligi kuu ni mpare kwanini?
Naomba serikali ifanye utafiti.
Sekilojo chambua,gula joshua,noah kilimanjaro na gadiel michael mbagamtoto wa 2000 atajuaje hayo. kuna mada humu zikianzishwa unapata kujua umri wa mtu. wengi vijanjaro vimeanza kushabikia mpira 2010 wc ya SA. ukimuambia gwiji sekilojo chambua atatumbua macho.
ni kwasababu ninyi ni wafupi, labda mkacheze na vistuli wenzenu (in mchaga's voice).Toka nizaliwe sijawahi kuona au kusikia mcheza mpira mkubwa Tanzania ligi kuu ni mpare kwanini?
Naomba serikali ifanye utafiti.
utachezaje mpiga kwenye milima na mabonde vile? kwanza wakulima wa tangawizi na mpira wapi na wapi.Mnawajuaje makabila yao? Upareni hakuna viwanja vya michezo?
Gadiel Michael Mbaga ni Mmakonde?Toka nizaliwe sijawahi kuona au kusikia mcheza mpira mkubwa Tanzania ligi kuu ni mpare kwanini?
Naomba serikali ifanye utafiti.
Kweli kabisa vijana wa pwani wana muda mwingi wa kufanya mambo nje ya shule, muziki, mpira na sanaa mbalimbali wanazoona wanafit na wengi hutobolea hukohukoMoto anatakiwa apate muda wa kutosha kuwa huru acheze sana mpira ili awe fundi
Wazazi wengi upareni mtoto ni kazi kazi full under control. Usipofanya kazi za familia unaweza usile
Pwani watoto hawapewi sana kazi na wazazi wao. Mtoto anatafutwa ili ale.
Hivyo anakuwa na muda wa kutosha kujifunza mpira na mengineyo.
Ndio maana vijana wa kiume wa pwani wanna vipaji sana vya nje ya masomo. Na wanafanikiwa sana
Hata mabinti wa pwani ni mafundi KWA vile ukiachana na mafunzo ya unyago,hawabanwi sana katika ukuaji wao
Hahaha, Wapare ndo wanatupa tangawizi kumbe? Wabarikiwe sana.utachezaje mpiga kwenye milima na mabonde vile? kwanza wakulima wa tangawizi na mpira wapi na wapi.
Coz hatuchekani kwenye mpira...😃Wachagga tumeingiaje hapo?😃😃😃
yap ndio maana wafupi wamedumaa kama tangawizi (in mchaga's voice).Hahaha, Wapare ndo wanatupa tangawizi kumbe? Wabarikiwe sana.
Ugweno unapakamia sheikh tupumzisheSasa kule ugweno mtacheza mpira juu ya vilindi vya milima au?
Na uo ufupi hamuwezi toa kiungo ya bolu
Nyie ni watani.yap ndio maana wafupi wamedumaa kama tangawizi (in mchaga's voice).
Gadiel Michael MbagaHahaha, na kweli sijawahi sikia mchome, mbaga, mndeme. Ila nadhani hata wachaga na wamasai ni wachache, mara chache sana kusikia Lymo, mushi, saitoti, Mollel... Nadhani kaskazini na mpira kidogo ni changamoto.