matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kama hawakupewa mkuu sasa mahakamani so wanashinda asubuhi tu.Mliwapa nakala za matokeo?
+ - !!!!!Majibu Yote Ni Sahihi
Matokeo ndio hayana Sifa au uchaguzi. Je wapinzani hawa kuwa na uwezo wa kuforecast na kuamua kutoshiriki ili hiki kinachofanyika sasa (kutokudai hali kama wameonewa) kisifanyike ili wahamishie mashambulizi huko ICC na EU, USSheria inatumika kupinga matokeo ya uchaguzi ila huu hata sifa ya kuitwa uchaguzi hauna.
Huoni wakienda na wakafigisiwa itawaongezea walaya Nyama katika kutubana huku na kuwadhibitishia kuwa mihimili yote haikoromi.Mahakama hizihizi ambazo ni chumba cha pili cha magufuli? Acha Ulaya watusaidie jamani
Mkuu hivi twitter inapatiakana vzr.Sifuti vpn
Record zipo za kutosha kwamba mahakama Tanzania zinafanya kazi kwa maelekezo ya wanasiasa!Huoni wakienda na wakafigisiwa itawaongezea walaya Nyama katika kutubana huku na kuwadhibitishia kuwa mihimili yote haikoromi.
Sasa bila hili huoni kama ni propaganda tu za kulialia
Hili ndilo jibu Sahihi..Hatukufanya uchaguzi/ni zaidi ya Uhuni tuliofanyiwa na sijui kwa nini CCM walitumia muda Mwingi Kuwalipa Wasanii wakati njia ya Mkato walikuwa nayo tayari.Sheria inatumika kupinga matokeo ya uchaguzi ila huu hata sifa ya kuitwa uchaguzi hauna.
Inawezekana wapinzani wanajua kuwa wakikata rufaa watatoa mwanya wa wagombea wao wachache kupewa ushindi wa mezani ili kuhalalisha uchaguzi mzima na kuleta mpasuko kwenye vyama vyao. Hamna kitu kinachopiganiwa sasa kama kupata wapinzani wachache kutoka vyama vinavyoeleweka bungeni.Wapinzani wametafakari mengi, japo fomu za matokeo hawana/hawakupewa sababu ilitungwa sheria ya uchaguzi inayosema fomu za matokeo kupewa sio lazima, lakini pia hata huko mahakamani hawana uhakika kama haki itatendeka, kwasababu NEC na mahakama wote ni waajiriwa wa CCM.