Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nayo ni pointi, wamewaacha wajikaange kwa mafuta yao wenyewe.Inawezekana wapinzani wanajua kuwa wakikata rufaa watatoa mwanya wa wagombea wao wachache kupewa ushindi wa mezani ili kuhalalisha uchaguzi mzima na kuleta mpasuko kwenye vyama vyao. Hamna kitu kinachopiganiwa sasa kama kupata wapinzani wachache kutoka vyama vinavyoeleweka bungeni.
Amandla...
Tangy lini ,kesi ya mbuzi ikaamuliwa na fisi na ukapatikana uwanja tambarare?wa kuzungumzia kesi hiyo?Zaidi nasikia uchaguzi umeisha tufanye yajayo.
Miaka iliyopita watu walikuwa wanakwenda mahakamani kudai haki zao zilizopokonywa na wengine walishinda.
Je,
Hawana ushahidi?
Wamrkubali yaishe?
Hawajaibiwa Bali wamepigwa kisawasawa?
Wanatishwa?
Wanatafakari kilichotokea?
Wanajiandaa kuunga Mkono juhudi?
None of the above?
Sasa unapelekaje kesi ya wizi kwa mwizi kwa mfano.Mkuu, kwa mazingila yale, hata ukirudiwa uchaguzi mara10,matokeo yatakuwa hayo hayo. WE ULIONA WAPI MTU ANAKUTWA NA KURA AMBAZO ZISHAPIGWA TAYARI NJE YA KITUO, lakini hachukuliwi hatua yoyote?
Bila kuwa na nakala ya matokeo kutoka vituo vya kumpigia kura utakuwa na ushahidi gani?Zaidi nasikia uchaguzi umeisha tufanye yajayo.
Miaka iliyopita watu walikuwa wanakwenda mahakamani kudai haki zao zilizopokonywa na wengine walishinda.
Je,
Hawana ushahidi?
Wamrkubali yaishe?
Hawajaibiwa Bali wamepigwa kisawasawa?
Wanatishwa?
Wanatafakari kilichotokea?
Wanajiandaa kuunga Mkono juhudi?
None of the above?
Inawezekana wapinzani wanajua kuwa wakikata rufaa watatoa mwanya wa wagombea wao wachache kupewa ushindi wa mezani ili kuhalalisha uchaguzi mzima na kuleta mpasuko kwenye vyama vyao. Hamna kitu kinachopiganiwa sasa kama kupata wapinzani wachache kutoka vyama vinavyoeleweka bungeni.
Amandla...
Ufipani wanafurahia utadhani kikombe kikipitishwa wao hawakinywi😁😁Mchezo sasa kaachiwa US, EU na ICC. Pambaneni na wababe sasa. Si mmezoea sana kutuonea?
Kwa uxhaguzi upi chief. Ni uchaguzi mzima uliharibiwa na CCMZaidi nasikia uchaguzi umeisha tufanye yajayo.
Miaka iliyopita watu walikuwa wanakwenda mahakamani kudai haki zao zilizopokonywa na wengine walishinda.
Je,
Hawana ushahidi?
Wamrkubali yaishe?
Hawajaibiwa Bali wamepigwa kisawasawa?
Wanatishwa?
Wanatafakari kilichotokea?
Wanajiandaa kuunga Mkono juhudi?
None of the above?
Wametudharau sana, yani tukio la mara moja kila baada ya miaka mitano kutokea ndio wamekuja kuligeuza la hovyo kabisa, wakaliondolea thamani yake yote.Kushiriki uchaguzi huu kumefanya tuyafahamu mengi juu ya wizi uliotokea, kwa mdano Mimi, nimekuwa msimamizi wa uchaguzi huu ni wizi ulivyofanyika nimeona kwa macho yangu. Haukuwa uchaguzi nilikuwa ni upumbavu tu.
Kesi ya nyani ....Zaidi nasikia uchaguzi umeisha tufanye yajayo.
Miaka iliyopita watu walikuwa wanakwenda mahakamani kudai haki zao zilizopokonywa na wengine walishinda.
Je,
Hawana ushahidi?
Wamrkubali yaishe?
Hawajaibiwa Bali wamepigwa kisawasawa?
Wanatishwa?
Wanatafakari kilichotokea?
Wanajiandaa kuunga Mkono juhudi?
None of the above?
Ni uchafuzi ulianzia kwenye serikali za mitaa tumepewa wenyeviti wa kuchaguliwa na wajumbe wa sisiemu.Sheria inatumika kupinga matokeo ya uchaguzi ila huu hata sifa ya kuitwa uchaguzi hauna.
Mkuu kama ingekuwa ukishinda Mahakamani, basi unapewa Ubunge, nadhani zingefunguliwa kesi nyingi, na kwa mambo yalivyokuwa wazi sana, nina imani CCM wangepoteza majimbo mengi.Tumegundua kwa hoja za wadau kuwa tatizo sio tu tume Bali bali wanaituhumu Mahakama pia.
Nilitegemea njia ya kuidhibiti tume isiyohuru hasa kwa uchaguzi wa wabunge ni mahakamani. Time ikiwa hivi hivi na tuhuma za kutokuwa guru tumewahi kuna wabungr wa upinzani wanashinda kesi na kutinga mjengoni.
Au tatizo ni kificho. Halijulikani ni tume au Mahakama au dola au mtawala au Ccm au wapinzani mwenyewe wanazingua
Mkuu unaishi Tanzania hii hii tunayoishi?!Kwa nini unataka kesi ya Tumbili ipelekwe kwa Ngedere?Yaani kwa nini unataka kesi ya mwizi wa kura ipelekwe kwa msimamizi mkuu wa wizi wa kura?Unaelewa kuwa vyombo vya sheria pamoja na polisi ndiyo walikuwa wasimamizi wakuu wa wizi wa kura na waliokamatwa na kura fake walikuwa ni wasimamizi wasaidizi wa wizi wa kura?Zaidi nasikia uchaguzi umeisha tufanye yajayo.
Miaka iliyopita watu walikuwa wanakwenda mahakamani kudai haki zao zilizopokonywa na wengine walishinda.
Je,
Hawana ushahidi?
Wamekubali yaishe?
Hawajaibiwa Bali wamepigwa kisawasawa?
Wanatishwa?
Wanatafakari kilichotokea?
Wanajiandaa kuunga Mkono juhudi?
None of the above?