Kwanini sisikii kesi za Wagombea Ubunge upinzani kudai kuibiwa ushindi?

Kwa kuzingatia hali ilivokuwa na ilivyo sishauri wafungue kesi.
 
Matokeo ndio hayana Sifa au uchaguzi. Je wapinzani hawa kuwa na uwezo wa kuforecast na kuamua kutoshiriki ili hiki kinachofanyika sasa (kutokudai hali kama wameonewa) kisifanyike ili wahamishie mashambulizi huko ICC na EU, US
Wasingeshiriki haya ungeyajuaje?
 
Ufipani wanafurahia utadhani kikombe kikipitishwa wao hawakinywi😁😁
Jiwe atakosa pesa za kuhonga mabarabarani tena, ili awabane vizuri watumishi kupitia TIN na walalahoi kupitia vitambulisho vya wamachinga. Tutalia sote safari hii.
 
Nchi inanjooka kwa namna Kama hii ..
Taifa lipo chini ya jemadali
Kwaheri upinzani , tunakaribisha vyama jirani
 
Hapakuwa na uchaguzi, sasa kesi za uchaguzi zitatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…