Kwanini Sokoine ndio Waziri Mkuu anayeenziwa kuliko wote Tanzania?

Hard work pay..
 
ANA ENZIWA KUTOKANA NA MAMBO MAKUBWA ALIYOYAFANYA NA PIA UADILIFU WAKE KWA TAIFA
 
Sababu kuu ni kuwa ALIKUFA akiwa Waziri mkuu akipambania Taifa.
 
Alifia kazini
 
... Mwl. Nyerere alikufa kabla ya Sokoine?
Mwalimu ndiye aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya Tanganyika tarehe 9 Dec 1961, Tanganyika ilipopata Uhuru, baadaye Mwl akajiuzulu na kumwachia Rashid Kawawa , na baada ya muda baada ya kujiuzulu katiba ikafanyiwa marekebisho na baadaye Mwalimu akachaguliwa kuwa Rais wa Kwanza wa Tanganyika. Kwahiyo Mwl ndio waziri Mkuu wa kwanza na waziri Mkuu wa pili ni Rashid Kawawa, wakati huo
 

Punguza uongo...Hivyo vyote vimepewa jina lake vinejengwa Akiwa keshakufa....Sokoine alikufa madarakani....mshtuko na simanzi ya kifo ndo imepelekea watu kumuenzi... nothing more
 
... kwa context ya waziri mkuu wa kwanza wa Tanzania "ni nani" uko sahihi. Uliyem-quote mwanzoni alimaanisha "waziri mkuu wa kwanza kufa"; nakazia WA KWANZA KUFA. Keyword hapo ni "KUFA".
 
... kwa context ya waziri mkuu wa kwanza wa Tanzania "ni nani" uko sahihi. Uliyem-quote mwanzoni alimaanisha "waziri mkuu wa kwanza kufa"; nakazia WA KWANZA KUFA. Keyword hapo ni "KUFA".
Ni marehemu Sokoine !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…