Kwanini Sokoine ndio Waziri Mkuu anayeenziwa kuliko wote Tanzania?

Kwanini Sokoine ndio Waziri Mkuu anayeenziwa kuliko wote Tanzania?

Hivi wajumbe wa CCM Wana allergy na maji ya kunywa? Wale wajumbe sijui hawasikii kiu? Huwezi kuona hata mmoja akinywa maji aliyowekewa mezani.
Duh! Kwani yanaweza kuwa contaminated ??!
 
Viongozi wangu bora wa Tanzania wakati wote.
1. John Pombe Magufuli
2.Edward Moringe Sokoine
3.Julius K. Nyerere

NB, inavyosemekana Sokoine alianza kuwa maarufu kuliko Nyerere na huenda angekuwa Rais mtarajiwa
 
Allikuwa ni "MZALENDO" kwa nchi yake asiyetiliwa mashaka na yeyote.
 
Sokoine Memorial High School - Pale alipopatia ajali imejengwa shule kubwa ya serikali ya advanced. Mambo mengine ni nyota ya mtu haya yote yamefanyika wakati hayupo. Viongozi wengine wamepeana majina wakiwa hai kama Soko Kuu la Ndugai.
Ee usisubiri mtu afe ndio uone mchango wake. Mfano hivi karibuni ndugai alitupa alert kuwa nchi inaweza pigwa mnada tukamuona adui lakini muda unavyoenda tunaona wanaanza kutoka hadharani kubwatuka.
 
Hakuwa waziri mkuu wa kwanza, Ila cha ajabu ndio waziri mkuu anayeenziwa kuliko wote hebu tazama,
1. Uwanja wa sokoine mbeya
2. Sokoine University of agriculture
3. Sokoine road Arusha/Dar es salaam
4. Sokoine secondary
5. Sokoine regional refferal hospital lindi
6. kituo cha afya sokoine Singida
7. Sokoine house Tamisemi dodoma

Hayo ni baadhi tu. Yaani ameenziwa kuzidi hata baadhi ya Marais na mawaziri wakuu.
Alkuwa mchapakaz aliyegusa nyoyo za watanzania na kama hujui yul ndo angefata kuwa rais wa Awam y pili
 
Kuwa siriaz bas .kuu, unamuenz vp lowasa hata kama ni wewe, labda tumuenz rich mond
 
Back
Top Bottom