Kwanini somo la Civics ndilo pekee ambalo haliundiwi combination "A" level katika masomo saba ya msingi Kidato cha Nne?

I will watch this later boss
 
Mbona somo la computer linasomwa na wanafunzi wote huko vyuoni lakini wale wa ICT na Computer Science wanalisoma kwa undani zaidi? Kwanini Civics lisisomwe na wanafunzi wote lakini kuwe na combination ya wabobezi watakaolisoma kwa undani zaidi?
 
Mbona somo la computer linasomwa na wanafunzi wote huko vyuoni lakini wale wa ICT na Computer Science wanalisoma kwa undani zaidi? Kwanini Civics lisisomwe na wanafunzi wote lakini kuwe na combination ya wabobezi watakaolisoma kwa undani zaidi?
Computer inasomwa mwaka mmoja tu kama ilivyo DS, na miaka sawa kama zilivyo GS na Civics.... Sina shaka level ya chuo kuna wabobezi wa uraia na sheria nyinginezo...
 
Yap, Civics imeachiwa hizo concepts za juu juu tu pamoja na current issues. Huo umuhimu wake umebebwa na masomo mengine
Hapana mkuu, bado ninapingana na wewe katika hili. Kuna uwezekano mwalimu wako alikuwa anafundisha shallow sana tofauti na inavyohitajika katika mtaala...
 
Tafuta koz za diplomasia kisha uone civics inayosomwa sekondari ina percent ngapi
Sio tu civics na masomo ya diplomasia mkuu, bali hata biology ya secondary na ile wanayosoma madakrati watarajiwa kule vyuoni kama vile Muhimbili hazifanani kwa maana ni levels mbili tofauti za elimu.

Kumbuka nyumba imara hutegemea zaidi msingi bora.
 
Taja hizo issues tuone kama haziko kwa somo lolote...

Utakayotaja nitakwambia ni somo gani limeeleza kwa kina hiyo issue unayoisema kinadhariA
Kwanini kufundishana mara mbili mbili sasa?
 
Wanaopata As za Civics sio diplomats wetu,Civics ni somo la watu wote wanaopata fursa ya kufika secondary.Kama unataka kuwa career diplomat kasomee International relations,Political Science,Public Administration,History n.k
Ninajua mkuu, lakini hawa wanaopata As za Civics tunawafanyaje kwa maana hawa ndio diplomats wetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…