Kwanini speed ni 180 km/h?

Mimi kwenye safari za kifamilia huwa hawaniruhusu kugusa Gari. Sijawahi kuweza kutembea taratibu.
 
Kuna jamaa yupo hukohuko youtube anafikisha hizo top speeds. Anaitwa autotoppnl.

Na juzi tu alikuwa anaendesha hiyo golf gti.

Nashangaa unaposema hazifiki.
 
Weka hio link hapa/nitajie jina lake nika search,kama hio gti haijawa tuned tena kwny stage 4.

Hakuna GTI Stock ya kufikisha 320km/h,haipo na haitakuwepo milele.

Ungekua unajua hesabu kidogo za hizi mambo ungekua umeshaacha hata kubishana.
 
Kipaso cha piston 3!! Ukikanyigia kikifika 70kph kinaanza kutetemeka! Kinaunguruma unaweza sema piston zitatoka ubavuni.
Chako kibovu mkuu. Ninamiliki passo. Na ni ya pili huwa zikifika 160000km nauza. Na huwa kwa mwezi natembea 3000 hadi 3500 km sababu ya ubize na shughuli zangu. Nliamua kutumia hizi gari sababu ya ulaji wake wa mafuta. Pia ni bahili sana hivo ninapokuwa safari lazima nikipita sehem nikaona abiria huwa lazima nibebe nipate kusev mafuta.passo ni gari nzuri sana tu ili mradi unatembelea kwenye lami na unaipa service first class sio za kuungaunga.
Mm ni mtumishi and kila weekend huwa nasafiri hadi 800 km kwenye biashara zangu 400 kwenda 400 kurudi.
Passo ina uwezo kwenda hadi 130km/hr ikiwa na level seat. Na ndo huwa constant speed yangu kwa hii gari. Sijasikia inatetemeka wala kuvibrate. Huwa sifanyi ligi namtu. Ila huwa nimejipangia hii speed, wengine hujua nafanya nao ligi
 
Hiyo speed 130Km/h unamaitain kwa masaa mangapi
 
Sio zote aisee mfano zingine wameweka tu speed unakuta 280kph lakini hazifiki zinaishia 230 hata ukanyage vipi.
Labda gari zenye cc kubwa ndo zina weza kufika ila hiz vw za chini ya cc2000 hazifiki top speed za 280 au 320 kph
Kuna possibility 2 hapa"
1.Either wameamua kubisha tu huku ukweli wakiujua.

2.Au hawajawahi kuendesha gari hizo,nao wanahadithiwa tu.
 
Weka hio link hapa/nitajie jina lake nika search,kama hio gti haijawa tuned tena kwny stage 4.

Hakuna GTI Stock ya kufikisha 320km/h,haipo na haitakuwepo milele.

Ungekua unajua hesabu kidogo za hizi mambo ungekua umeshaacha hata kubishana.
"No limit autobhan" nae amemaliza kisahani cha vw golf gti huko autobhan.
 
"No limit autobhan" nae amemaliza kisahani cha vw golf gti huko autobhan.
Hahah naona ulisoma heading tu ya hio video hukuangalia hata content yenyewe.

Nimeicheki mpk Mwisho hio video na Max top Speed aliyoenda ni 259km/h ambayo ni sawa na 161mph.

Achana hata na hio 320km/h ukipata hata screenshoot ya 270km/h kwny hio video iweke hapa.
 
Yeah you are right.

Mfano halisi E Class W212 E250 top speed ni 243km/h out of 260km/h...ina 211 HP

Japo nimesikia kuna namna ya kutegua hiyo top speed limit ya 243km/h ifikie 260km/h

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Yeah you are right.

Mfano halisi E Class W212 E250 top speed ni 243km/h out of 260km/h.

Japo nimesikia kuna namna ya kutegua hiyo top speed limit ya 243km/h ifikie 260km/h

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app

Najua we ni mpenzi wa Germany machines wa kufa mtu lkn umekubali ukweli huo.

Ndio mkuu wanafanyaga makeke mpk inafikia hio 260km/h.
 
Najua we ni mpenzi wa Germany machines wa kufa mtu lkn umekubali ukweli huo.

Ndio mkuu wanafanyaga makeke mpk inafikia hio 260km/h.
Yeah huo ndio ukweli..

Maximum top speed niliyoiona kwa hizi conventional SALOONs na SUVs za Benz Na BMW ni 250km/h out of 260km/h.....hapo naongelea zenye >3000cc......>300HP

~2000cc ndio unapata 233-243km/h

Nikisema contentional namaanisha zote except hizi true AMGs na M series

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
3000cc......>300HP

~2000cc ndio unapata 233-243km/h

Naam kwa stock cars(non-tuned) huu ndio ukweli halisi wa mambo huko barabarani.
 
🤣🤣🤣🤣🤣

Mi mwenyewe sikubali asiee usiku unipakie halafu ufute kisahani nakuangalia tu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…