Kwanini Sweden (Sida) hawakutupa pesa FY2020|21 na badala yake wametupa FY2021|22 mwaka mmoja baadaye?

magufulia alikuwa anatufundisha kujitegema, lakini watu wanalilia misaada. Unadhani kama China ingetegemea misaada ingekuwa hapo ilipo leo?

Waswahili wanapenda vya bure sana; inainikumbusha ule msemo kuwa "nikienda nje nianrudi na kibaba!"
 
Nampenda sana huyu Mama,
Sura na roho yake vinafanana,
Mungu akubariki
 
Tusishangilie sana misaada
 
Nyie si matajiri na hodari wa kuua wenzenu kisa wanataka demokrasia? tafuteni hela acheni kuhangaika na misaada , yule mzee wenu si aliwahi kusema nyie ni matajiri sana wa madini mbona mnashobokea misaada sasa, masikini wa fikra nyie.
 
Nyie si matajiri na hodari wa kuua wenzenu kisa wanataka demokrasia? tafuteni hela acheni kuhangaika na misaada , yule mzee wenu si aliwahi kusema nyie ni matajiri sana wa madini mbona mnashobokea misaada sasa, masikini wa fikra nyie.
Janja weedi
 
Janja weedi
ndio mimi nimezaliwa kwa bahati mbaya naishi kwa makusudi , sijipendekezi kwa mtu hadi nijiite eti mtoto wake mimi nabeba boksi huku kwa mabeberu napata unga wa wanangu. Huku na enjoy kwakua wana adabu heshima na wana utu hawauwi watu hovyo kwa kutofautiana mawazo.
 
duh maskini daima
 
Kwa kawaida kuna utaratibu katika mikataba hiyo kuwa malipo mapya hufuata baada ya taarifa ya matumizi inayorishika, labda pia masharti mengine,
Kama masharti hayakutumizwa, basi hamna pesa tena. Ni jambo la kawaida katika mikataba yote, ya kibinafsi au kiserikali.
Historia hii sikufuatilia . . .
 
Viwavi jeshi wa lumumba wamekutana
 
Hata ungekuwa wewe usingetoa,wale walikuwa wapigaji badala ya kutimiza malengo yaliyokusudiwa.

Unawajua vizuri wasee wa legacy au unawasikia ?
 
Ila ccm awamu ya sita mnatisha kwa hoja
Mmechukua hadi agenda zetu upinzani,
Mimi chadema ila samia dam
Hata mimi sijawahi chagua ccm miaka yote na Mwendazake ndio alisababisha nikawachukia mazima ila sasa hivi nitachagua Rais Chief Hangaya ila kwingine sitopigia kura yeyote maana wabunge walioko si wapinzani au ccm hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…