Kwanini Sweden (Sida) hawakutupa pesa FY2020|21 na badala yake wametupa FY2021|22 mwaka mmoja baadaye?

Kwani huu mradi unaanza Leo?

Rudia kusoma kwa kutulia mkuu

KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Umeandika ukaandika ila CCM na serikali yake tunapokea misaada ila kamwe hatutegemei misaada,


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Asante sana pacha kwa majibu mazuri sana,

Hakuna kama Samia,Mama ni moto wa kuuota kwa mbali sana utaungua
 
Hawajaanza leo mbona 💪🏿💪🏿🙏🏿🙏🏿
 
At all CCM ndio Chama na Hakuna kama Samia 💪🏿💪🏿🙏🏿🙏🏿
 
Tunapokea ila hatutegemei elewa
 
Tatizo sio kujenga madarasa!Tatizo ni elimu Mbovu isiyo na future hapa nchini!hao vijana wakishasoma wanajiarije kama elimu yenyewe mfu isio na macho??Ona wimbi la vijana wasio na ajira mtaani !!tutafanyaje???
Mbona wewe imekusaidia au wewe ndio huna future 💪🏿💪🏿🙏🏿🙏🏿
 
EPforR I ilitoa TZS 208b kwa JK mwaka FY2014|15 to 2020|21, why EPforR II imetoa TZS 196b kwa Rais Samia FY2021|22 mwaka mmoja baadaye,Je waligoma au hawakuwa na pesa?

2020/21 umeelewaje?

Y umeshangaa 2021/22?

In short hakuna mwaka uliorukwa

Mnasikitisha sana kwa wengi kushabikia bila kufikiria or labda ni ushabiki ambao haufahi
 
 
2020/21 umeelewaje?

Y umeshangaa 2021/22?

In short hakuna mwaka uliorukwa

Mnasikitisha sana kwa wengi kushabikia bila kufikiria or labda ni ushabiki ambao haufahi
Tumia akili vizuri
Kuanzia 2014/15 miaka mitano inaisha lini ?
 
..waliosababisha Sweden kugoma kutu-support ni Magufuli, Sirro, na Kabudi.

..walioboresha mahusiano na Sweden ni SSH na Balozi Mulamula.

..ila ni lazima tuelewe kwamba misaada na mikopo toka Sweden na EU inategemea zaidi matendo ya serikali haswa ktk masuala ya utawala bora, demokrasia, haki za binadamu, na uhuru wa vyombo vya habari.

..kama SSH, Balozi Mulamula, na serikali ya Tz kwa ujumla, wataweza ku-prove kwa Sweden kwamba nchi yetu iko vizuri ktk vipengele vinne hapo juu, basi tutegemee kuwa na mahusiano mazuri na ya karibu baina ya nchi zetu mbili.
 
Kamuulize mama yako unatuuliza sisi ili iweje?

Uchochezi tu umekujaa na siasa zako majitaka
 
Kamuulize mama yako unatuuliza sisi ili iweje?

Uchochezi tu umekujaa na siasa zako majitaka
Uchochezi gani hapo?

Ulipenda vile akina Lissu walivyoichafua nchi yetu huko nje?

Kama hujui kusoma hata macho huoni?
 
daah,cjui mmetoka wapi nyie.

Yani mbona wanafiki sana nyie.hizo sifa mnazompa samia na kumponda magufuli wakati wote ni serikali moja mmezitoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…