Kwanini Sweden (Sida) hawakutupa pesa FY2020|21 na badala yake wametupa FY2021|22 mwaka mmoja baadaye?

daah,cjui mmetoka wapi nyie.

Yani mbona wanafiki sana nyie.hizo sifa mnazompa samia na kumponda magufuli wakati wote ni serikali moja mmezitoa wapi?
Mkuu Hayati Magufuli kapondwa wapi?

Swala la kulinganisha mipango ya maendeleo ni jambo la kawaida duniani kote,

Hayati Magufuli mwenyewe alikuwa annasema nimeongeza bajeti ya madawa toka Tsh 31b mwaka 2015 hadi 270b mwaka 2020,

Je alikuwa anamponda JK?

TUACHENI MAHABA YA KISHAMBA KAMA HAMTAKI SAMIA ATAJWE ZIBENI MASIKIO KWAKUWA TUTAMTAJA SANA
 
Viva Samia Viva

Mimi ni chadema ila Samia dam
 
comment of the day
 
Ni aibu sana kwa nchi kubwa kama Tanzania kupewa misaada na kanchi kadogo kama mkoa.
Ina maana tumekosa watu wanaofikiri
 
magufulia alikuwa anatufundisha kujitegema, lakini watu wanalilia misaada. Unadhani kama China ingetegemea misaada ingekuwa hapo ilipo leo?

Waswahili wanapenda vya bure sana; inainikumbusha ule msemo kuwa "nikienda nje nianrudi na kibaba!"
Unajitegemeaje wakati uzalishi
 
Nyie si matajiri na hodari wa kuua wenzenu kisa wanataka demokrasia? tafuteni hela acheni kuhangaika na misaada , yule mzee wenu si aliwahi kusema nyie ni matajiri sana wa madini mbona mnashobokea misaada sasa, masikini wa fikra nyie.
Mwafrika hana uwezo wa kuongoza Jamii ikastawi
 
Ni aibu sana kwa nchi kubwa kama Tanzania kupewa misaada na kanchi kadogo kama mkoa.
Ina maana tumekosa watu wanaofikiri
Tunapokea misaada ila hatuitegemei lazima mwelewe nyie BAVICHA
 
Kabla ya hapo mabeberu walikua wanapigwa vita...
 
Una maswali mepesi sana...
Yaani wangetoa kipindi Jiwe lipo hai hizo hela zingeishia kusikojulikana!
Walipata funzo kutokana na matumizi ya pesa za tetemeko kule Bukoba!
 
Hao tembo wanaotoka hifadhini na kuvamia makazi ya wananchi bila shaka wanastahili kugeuzwa kitoweo.
Popote Ulipo sema "Mungu mlinde Rais Samia "

Matatizo yetu yatapungua sana
 
Mulamula kafanya kazi nzuri ya kuipaka Tanzania Rangi safi na ya kupendeza.
 

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,


_________________
 
Unajisifia kwa kupewa misaada? Nielekeze nyumbani kwako nikuletee gunia la mchele na maharage kwa mkopo nafuu wa miaka 2 ufurahi na familia yako
 
Mungu atusaidie...imefika mahali kupewa misaada na wazungu ni sifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…